Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

Nasema makaburi na miti ni issue kwani inaonekana ni makao ya familia, wanasubiri tu kupaendeleza.
 
Naomba unisaidie ndugu sheria inasemaje hapa ,kama kiwanja cha mtu kina miti,makaburi na nyumba na huyu mtu akahamia sehemu nyingine akaviacha vile vitu ndani ya kiwanja chake anachomiliki kihalali inachukua muda gani kisheria thamani ya hivyo vitu kuisha ndani ya ardhi hiyo ili serikali ya kijiji iweze kuwa na mamulaka kamili ya kuweza kumiliki ardhi ya mtu husika.KARIBU SANA.
Naomba kujua nilini mlienda kwa mara ya mwisho katika hilo eneo kabla hajapewa huyo jirani?
 
Umiliki wa ardhi unaongozwa na masharti na kusudi, unamiliki ardhi kwajili ya nini?

Ikiwa mlimiliki ardhi kwajili ya makazi au shamba na mkajenga au kupandamiti halafu mkaondoka nakuliacha eneo kwa muda mrefu (miaka 5+), hii kisheria inatafsiriwa kama utelekezaji haijalishi Kuna msingi au nyumba isiyokamilika au nyumba au miti. Ikiwa mmelitelekeza kwa zaidi ya miaka kati ya 3 au 5+ itategemea na dhumuni la umiliki basi itasomeka mmetelekeza.
 
Mwenyekiti anatoa maamuzi kwa niaba ya serikali ya Kijiji... analolifanya kama Mwenyekiti, he will be sued as Mwenyekiti wa Kijiji not by his personal identity/name
Mwenyekiti hawezi kutoa maamuzi kwa niaba ya wananchi Kama maamuzi hayo hayakupita kwenye mkutano mkuu na kuandaliwa muhtasari.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umiliki wa ardhi unaongozwa na masharti na kusudi, unamiliki ardhi kwajili ya nini?

Ikiwa mlimiliki ardhi kwajili ya makazi au shamba na mkajenga au kupandamiti halafu mkaondoka nakuliacha eneo kwa muda mrefu (miaka 5+), hii kisheria inatafsiriwa kama utelekezaji haijalishi Kuna msingi au nyumba isiyokamilika au nyumba au miti. Ikiwa mmelitelekeza kwa zaidi ya miaka kati ya 3 au 5+ itategemea na dhumuni la umiliki basi itasomeka mmetelekeza.
Mzee huyu bwana eneo wamelitelekeza tangu 1985 leo 2022 miaka zaidi ya 35 anaridi nakudai warudishiwe! Nitajifunza mengi kupitia kesi hii.

Hatukutelekeza boss kilicho fanyika ni kuwa tulihamia eneo jingine katika kijiji hichohicho na tulikuwa tunaenda kupalilia makaburi na kuvuna matunda ya miti yetu kama kawaida,yeye jamaa kayingia pale mwaka 2012
 
Umiliki wa ardhi unaongozwa na masharti na kusudi, unamiliki ardhi kwajili ya nini?

Ikiwa mlimiliki ardhi kwajili ya makazi au shamba na mkajenga au kupandamiti halafu mkaondoka nakuliacha eneo kwa muda mrefu (miaka 5+), hii kisheria inatafsiriwa kama utelekezaji haijalishi Kuna msingi au nyumba isiyokamilika au nyumba au miti. Ikiwa mmelitelekeza kwa zaidi ya miaka kati ya 3 au 5+ itategemea na dhumuni la umiliki basi itasomeka mmetelekeza.
Naomba unisaidie kwa mjibu wa sheria ili kiwanja kitelekezwe AU kiendelezwe kunatakiwa kuwe au kusiwe na vitu gani?,maana kiwanja chetu kama nilivyo sema kina miti ya matunda na miti ya mbao,kuna pagale la nyumba kwa sasa, kuna makaburi.Je hivyo vilivyomo ndani ya kiwanja havikipi kiwanja uhalali wa kuwa hai kwa mjibu wa sheria?,ASANTE NA KARIBU,
 
Naomba kujua nilini mlienda kwa mara ya mwisho katika hilo eneo kabla hajapewa huyo jirani?
Tumekuwa tukienda kila wakati kumwambia atoke na yeye hujibu twende tu tukajenge kwani haina shida,sasa tulipo taka kujenga ndio akasema kuwa vigezo vinafuata kufuatiliaofisini tukakuta hati yetu ya kiwanja kule ofisini wamefuta kwa collection fluid na kuandika jina lake.Nb huyu jamaa ni jirani lakni pia kuna undugu fulani hivi.
 
Mlivyokuwa mnaenda Mara kwa Mara hamkuona uingiliaji wa mtu mwingine ktk eneo lenu?
 
Mtafute mwenyekiti wakamati ya ardhi ya Kijiji mnyweshe bia atakuambia kilakitu kilichosahihi au kimechepushwa
 
Hatukutelekeza boss kilicho fanyika ni kuwa tulihamia eneo jingine katika kijiji hichohicho na tulikuwa tunaenda kupalilia makaburi na kuvuna matunda ya miti yetu kama kawaida,yeye jamaa kayingia pale mwaka 2012
Tangu 2012 mpaka sasa Ni miaka 10 sijui mlikua wapi kipindi chote hicho

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tumekuwa tukienda kila wakati kumwambia atoke na yeye hujibu twende tu tukajenge kwani haina shida,sasa tulipo taka kujenga ndio akasema kuwa vigezo vinafuata kufuatiliaofisini tukakuta hati yetu ya kiwanja kule ofisini wamefuta kwa collection fluid na kuandika jina lake.Nb huyu jamaa ni jirani lakni pia kuna undugu fulani hivi.
Kuingiza tu Hilo neno la undugu linafanya kesi hii iwe tamu zaidi maana unaweza kukuta huyo bwana nae anahusika kwenye eneo Hilo, hapo mjitahidi kuyamaliza kifamilia kwanza mkishindwa mfungue kesi mahakamani.

Kabla ya kufungua kesi mtafute mwanasheria kwa ushauri zaidi. Wengine consultation Ni sh 60,000/= na wengine mnakubaliana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana ndugu yangu ubarikiwe kwa ushauri mzuri na kisheria

Wanakijiji hawakuhusishwa na hawajui lolote, yeye huyu mvamizi (jirani) anadai baada ya kuona eneo liko huru akatuma maombi kwenye serikali ya kijiji ikamgawia.NB kumbuka ndani ya kiwanja kuna kaburi tatu,miti ya matunda na ya mbao kuna pagale la nyumba tuliyokuwa tunaishi kipindi hicho.
Ndgu yangu apo nenda mahakamani...lakni nakushauri kabla ya yoye tafuta mwanasheria akupe mwongozo...kwa nionavyo mimi uongozi wa kijiji hauna mamlaka hiyo ukizingatia hadi kuna makaburi n.k
 
Back
Top Bottom