Field Marshall wapo wengi Sana,huenda wakafika 20 kwa Sasa waliohai, ili uwe field Marshall unachaguliwa na jopo la wakuu wa Jeshi, kwa Nchi za kidikteta hiko Ni cheo kikubwa zaidiKatika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale. nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma field marshall hawazidi kumi. Akiwemo hayati Fidel Castro na ,ally zaqawi .je ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?na je cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
... Kuna Generalissimo; very countable. Baba wa taifa la Taiwan.Field marshall ndiyo level ya mwisho namaanisha rank ya juu kabisa katika maswala ya kijeshi,
"Tanzania hatuna Field Marshall"
Akipigwa risasi haipiti
Vyeo vingine ni mbwembwe tu
Hao walijipachika Wala hawakuwa na hadhi hiyoField Marshall wapo wengi Sana,huenda wakafika 20 kwa Sasa waliohai, ili uwe field Marshall unachaguliwa na jopo la wakuu wa Jeshi, kwa Nchi za kidikteta hiko Ni cheo kikubwa zaidi
Hapa Africa field Marshall walikuwa 1.Jean badel Bokassa wa Central Africa
2.Idd Amin na 3.Mobutu sese seko
Kutokana na destuli ya Miaka mingi,ukiwa field Marshall unapaswa kuchagua kauli mbiu
😂Vigezo Ni vipi ?Hao walijipachika Wala hawakuwa na hadhi hiyo
yule alijipachika tu cheoo hata vitani hajawai kwendaa anaagiza tuuMwingine ni hayati al haji Idd amin Dada
Hujuwi kitu mzeeField marshall ndiyo level ya mwisho namaanisha rank ya juu kabisa katika maswala ya kijeshi,
"Tanzania hatuna Field Marshall"