Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi .

Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?

Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
 
Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale. nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma field marshall hawazidi kumi. Akiwemo hayati Fidel Castro na ,ally zaqawi .je ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?na je cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
Field Marshall wapo wengi Sana,huenda wakafika 20 kwa Sasa waliohai, ili uwe field Marshall unachaguliwa na jopo la wakuu wa Jeshi, kwa Nchi za kidikteta hiko Ni cheo kikubwa zaidi

Hapa Africa field Marshall walikuwa 1.Jean badel Bokassa wa Central Africa
2.Idd Amin na 3.Mobutu sese seko

Kutokana na destuli ya Miaka mingi,ukiwa field Marshall unapaswa kuchagua kauli mbiu
 
Akipigwa risasi haipiti
images - 2022-08-09T222116.358.jpeg
 
Field Marshall wapo wengi Sana,huenda wakafika 20 kwa Sasa waliohai, ili uwe field Marshall unachaguliwa na jopo la wakuu wa Jeshi, kwa Nchi za kidikteta hiko Ni cheo kikubwa zaidi

Hapa Africa field Marshall walikuwa 1.Jean badel Bokassa wa Central Africa
2.Idd Amin na 3.Mobutu sese seko

Kutokana na destuli ya Miaka mingi,ukiwa field Marshall unapaswa kuchagua kauli mbiu
Hao walijipachika Wala hawakuwa na hadhi hiyo
 
Kwanza lazima uwe comando na umepigana vita vingi sana. Uwe unajua kutumia kila aina ya silaa na mbobezi kwenye kuelekeza maswala ya kivita.
 
Field Marshal lazima awe amepigana vitu tatu na kuendelea na zote ashinde akiwa kama kamanda
 
Kimsingi Field Marshall ni cheo cha juu na cha mwisho jeshini hupewa Kamanda aliyekuwa na cheo cha General (Mkuu wa majeshi) pia akapiganisha vita kadhaa na kupata ushindi akiwa kamanda mkuu na mara nyingi hutokea katika Jeshi la nchi kavu (Land force), upande wa Navy kuna Fleet Admiral na upande wa Air force wanakuwa na Air Marshall. Pia siyo lazima awe ni moja ya member kutoka Special Force kama baadhi walivyo elezea.
 
Back
Top Bottom