Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Arusha mabishoo tu mpaka wakise hela ndo waonekane hardcore's
Ni wakata viuno tu
 
tatizo machalii ya arusha akili zao zipo resi, sec kwao ni nyingi wameshaharibu
 
Watu wa arusha ni wababe mnooo, kama last time walikuwa wanataka waimbe wale wasanii wanaowataka wao, sio anaowataka ruge, sasa this time nina wasi wasi kama manfongo jukwaani akipandaa kama hawatamsusha sijui....
 
Jumamos fiesta hitakuwa Arusha jombaaa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Arusha haipo,wao wanataka wana hip hop tu kuliko singers
 
Wale jamaa mnaowasikia kila siku wakizunguka kila Mkoa na Mifugo yao, na kuanzisha ugomvi na Wakulima Arusha si ndio nyumbani kwao, sasa unategemea nini?
Si bure hata wewe mwenyewe nafsi imekusuta, mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika huu upuuzi...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asee chalaangu taratibu na sisi atii...

Tunataka vitu chaaaaa, ooooi, aaah vitu heavy vinavyoamsha stim na mori alafu mwisho kabisa TUNAZITWAGWAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…