jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Arusha mabishoo tu mpaka wakise hela ndo waonekane hardcore's
Ni wakata viuno tu
Ni wakata viuno tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpk pale mtakapoacha kubana pua na kushusha suruali chini ya mpododoMtaacha lini usela mavv?
HahahahaIje he!
Mroge wasanii waimbe mwaka mzima waone ni usiku mmoja
Kwani we ni msumbawanga? ?Seneta wa marekani bwana screpa usiniangushe
Jumamos fiesta hitakuwa Arusha jombaaaNakumbuka iliwahi kwenda huko miaka ya nyuma ila wakaacha, wanaishia Moshi tu.Kama tuonavyo kwa sasa Fiesta inaenda mikoa mingi hadi mikoa midogo kama Singida na baadhi ya wilaya kama Kahama na Muleba, so hainiingii akilini ni kwanini waache kwenda mkoa mkubwa wenye fursa kibao kama Arusha. Eti machalii wa R mlimfanya nini Ruge? Au mnamtisha na mibangi yenu?
Si bure hata wewe mwenyewe nafsi imekusuta, mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika huu upuuzi...Wale jamaa mnaowasikia kila siku wakizunguka kila Mkoa na Mifugo yao, na kuanzisha ugomvi na Wakulima Arusha si ndio nyumbani kwao, sasa unategemea nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asee chalaangu taratibu na sisi atii...Macharii wa arusha wanapenda zile nyimbo zao,
"Kimbau mbau kanenepa kawa tuku nyema[emoji443] " sasa nyimbo gani hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui na nyingine inaimbwa mamong'oo macharee machhaa sijui nn mi sielewi hawa jamaa wa arusha cjui wanatumia bangi kama mboga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeandika kitu nilichokua nakiwaza halafu eti anacheka. Elimu Elimu Elimu ni janga sana kwa vijanaMtaacha lini usela mavv?
kaolewa na mzungu. karudi kutoka South hana kitu.Chindo aka Mbwa mzee yupo wapi huyu chalii siku hizi?!!