Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

Kariakoo hata miamala ina pesa, mana kuja mtu kukumwagia kibunda sio kesi. Hata chakula! Mm nina uzeof wa mashuka, pazia, neti, taulo n pochi kias.

Unawez pia kuingia miguu miwil kwenye Nguo hasa tishet za uturuki na India. Au kuuza hivyo vitu hapo juu vina soko kubwa sana kufananisha na bidhaa nyingine.
Safi mkuu
 
Kuwa na biashara makumbusho haina maana wateja wa kuja dukani wenyewe hawatakuwepo bali kutakuwa na tofauti kidogo na kkoo
Lakini pale makumbusho utakuta kuna mtu ameanza biashara na msingi wa milioni tatu na anaenda vizuri kabisa lakini mimi naenda pale nina milioni sita kwaajili ya matangazo tu mbali na msingi nilionao
Nikisema matangazo unaweza kuwa huelewi namaanisha nini
Matangazo yanafanya kazi kuliko uchawi
Kivipi
Mfano ukitaka kujua kuhusu kilimo cha mahindi ukaingia YouTube ukaandika kilimo cha mahindi na ukatazama video mbili au tatu kesho utakuta video zaidi ya kumi zinazohusu kilimo cha mahindi
Ndiyo jinsi matangazo yanavyofanya kazi
Unavyosajili tangazo mtandaoni unataja
Aina ya bidhaa uliyonayo
Una option ya kusema aina ya watu unaotaka waone tangazo lako
Eneo ambalo tangazo lako unataka lifike
Inaweza kuwa kinondoni au ilala au dar es Salam au Tanzania nzima au Afrika mashariki,
Umri, jinsia na mahali watu walipo hizo data za watu zipo mtandaoni kwa hiyo tangazo litawafikia watu wenye uhitaji wa bidhaa yako kwa hivyo uwezekano wa biashara ni mkubwa sana
Kuna hadi option za watu wangapi waone tangazo kwa siku na kuendelea inategemea na Budget yako
Mtu anaweza kuwa Namanyere kitandani kwake usiku wa manane anaperuzi matandaoni na akaona kwamba dar es Salam makumbusho kuna mtu anauza viatu aina fulani nnavyovitafuta hii ni tofauti na mwenye frem kkoo aliyekaa kusubiri wanaokuja
Umenipa elimu mujarabu
 
Kumbe watu mnapigwa hivi.🤣🤣.kuna ulazima gani wa kufungua fremu kariakòo?kuna maeneo mengi fana mzunguko wa biashara mzuri tu.acheni kupigwa
 
Dunia ya sasa siwezi kwenda kkoo kulipa mamilioni ya kilemba
Ni bora kuchukua frem makumbusho au mwenge na hiyo milioni sita ya kilemba ni yakufanyia matangazo mtandaoni impact yake inaweza kuwa kubwa sana
Sahihi mkuu
 
Ngoja kwanza kwani mnapi sem kilemba mna maanisha nini? Hebu nitoeni tongo tongo mwenzenu. 😂
 
Hizi hapa
 

Attachments

  • 20240810_153911.jpg
    20240810_153911.jpg
    1.4 MB · Views: 9
Naona huyu jamaa hana uzoefu sana na mtaa ana mambo mengi ya kusoma ,sorry kama ntakuwa nimemkwanza,ila ni mweupe sana kuhusu mambo halisi ya biashara.
Kwahiyo mkuu una uzoefu na kariakoo kwasababu huwa wengine tunatamani tuingie pale
 
Back
Top Bottom