Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

Hapana ,Mimi sina uzoefu na kariakoo kabisa,, ila nampinga mdau anayeamini kwenye matangazo sana ya biashara hizi za kati ,mfano duka.
Huwez kumpostia mtu mtandaon bidhaa mwez mzima alafu ananunua siku moja useme utakuwa na biashara endelevu. Huko mbele itakuchangamsha tu.. mm mkuu nimefanya hiz biashara kariakoo sana so naongeq kwq uzoef, napenda kila mtu atoe uzoef wake hapa ili tupate mjumuisho. Kanakuja kajitu kanapinga kisa kamekariri ya chuo
 
Umesema kweli mkuu biashara ya duka kutangaza sana mtandao sio sawa ,cocacoa ,,mo ,azam ,ndio wajitangaze huko ila sio MTU mwenye duka ..pia MTU mwenye brand yake anaweza jitangaza mtandaon kama vile oceanic, sunder ,,Mr UK etc
 
Na sana kwenye kufanya discount kuelekea matukio maalum kama sikukuu z nanenane, saba saba,eid au Christmas na mwaka mpya au mwez mpya.. nk!

Sijajua kwa bidhaa tofauti! Ila huu mkakat kwa biashara za bidhaa za kikariakoo kariakoo ni mkakat kichaa
 
Back
Top Bottom