Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

Safi mkuu
 
Umenipa elimu mujarabu
 
Kumbe watu mnapigwa hivi.🤣🤣.kuna ulazima gani wa kufungua fremu kariakòo?kuna maeneo mengi fana mzunguko wa biashara mzuri tu.acheni kupigwa
 
Dunia ya sasa siwezi kwenda kkoo kulipa mamilioni ya kilemba
Ni bora kuchukua frem makumbusho au mwenge na hiyo milioni sita ya kilemba ni yakufanyia matangazo mtandaoni impact yake inaweza kuwa kubwa sana
Sahihi mkuu
 
Ngoja kwanza kwani mnapi sem kilemba mna maanisha nini? Hebu nitoeni tongo tongo mwenzenu. 😂
 
Naona huyu jamaa hana uzoefu sana na mtaa ana mambo mengi ya kusoma ,sorry kama ntakuwa nimemkwanza,ila ni mweupe sana kuhusu mambo halisi ya biashara.
Kwahiyo mkuu una uzoefu na kariakoo kwasababu huwa wengine tunatamani tuingie pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…