Hapana ,Mimi sina uzoefu na kariakoo kabisa,, ila nampinga mdau anayeamini kwenye matangazo sana ya biashara hizi za kati ,mfano duka.Kwahiyo mkuu una uzoefu na kariakoo kwasababu huwa wengine tunatamani tuingie pale
Huwez kumpostia mtu mtandaon bidhaa mwez mzima alafu ananunua siku moja useme utakuwa na biashara endelevu. Huko mbele itakuchangamsha tu.. mm mkuu nimefanya hiz biashara kariakoo sana so naongeq kwq uzoef, napenda kila mtu atoe uzoef wake hapa ili tupate mjumuisho. Kanakuja kajitu kanapinga kisa kamekariri ya chuoHapana ,Mimi sina uzoefu na kariakoo kabisa,, ila nampinga mdau anayeamini kwenye matangazo sana ya biashara hizi za kati ,mfano duka.
Umesema kweli mkuu biashara ya duka kutangaza sana mtandao sio sawa ,cocacoa ,,mo ,azam ,ndio wajitangaze huko ila sio MTU mwenye duka ..pia MTU mwenye brand yake anaweza jitangaza mtandaon kama vile oceanic, sunder ,,Mr UK etcHuwez kumpostia mtu mtandaon bidhaa mwez mzima alafu ananunua siku moja useme utakuwa na biashara endelevu. Huko mbele itakuchangamsha tu.. mm mkuu nimefanya hiz biashara kariakoo sana so naongeq kwq uzoef, napenda kila mtu atoe uzoef wake hapa ili tupate mjumuisho. Kanakuja kajitu kanapinga kisa kamekariri ya chuo
Na sana kwenye kufanya discount kuelekea matukio maalum kama sikukuu z nanenane, saba saba,eid au Christmas na mwaka mpya au mwez mpya.. nk!Umesema kweli mkuu biashara ya duka kutangaza sana mtandao sio sawa ,cocacoa ,,mo ,azam ,ndio wajitangaze huko ila sio MTU mwenye duka ..pia MTU mwenye brand yake anaweza jitangaza mtandaon kama vile oceanic, sunder ,,Mr UK etc
Unataka kuuza bidhaa gan mkuuKwahiyo mkuu una uzoefu na kariakoo kwasababu huwa wengine tunatamani tuingie pale