Akiweka namba inagoma?
Anasema WhatsApp namba haipo emu mpe msaada hapoAkiweka namba inagoma?
Atumie whatsapp bana😃
Tusubiri wataalamAnasema WhatsApp namba haipo emu mpe msaada hapo
Inabidi uwe na salio la kawaida sio kifurushi. Na msg moja gharama yake nadhan kitu kama 240 siko sure sana juu ya hili. Weka hata buku then tumaNduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au nijiunge vipi?
Ahsanteni.
Zinn
Meseji za Nje hutumi kwa kifurushi ila unatuma kwa kuwa na airtime kwenye simu yako. Weka tu, salio kama shs 5000 utatuma meseji zako zote, inacharge kwenye shs 100 kwa mesejiNduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au nijiunge vipi?
Ahsanteni.
Zinn
HongeraAhsanteni sana nduguzangu, nimeweka muda wa maongezi bila kujiunga, nikafanikiwa, hatimaye lengo langu limefanikiwa pia, mbarikiwe sana. Thread closed.
Zinn
Weka voucher kawaida....iwe kama buku hivi msg moja haipungui tzs 200......bundles inagoma..Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au nijiunge vipi?
Ahsanteni.
Zinn