Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

Ahsanteni sana nduguzangu, nimeweka muda wa maongezi bila kujiunga, nikafanikiwa, hatimaye lengo langu limefanikiwa pia, mbarikiwe sana. Thread closed.

Zinn
Huyo mlengwa huko hana internet ajiunge whatsapp??
 
hii ni program gani mkuu ya kukupa mrejesho hivi?
Ni UK hii, kama namba ni matapeli basi utaona imeandikwa hivyo
Hawa wapo pia wanaoitwa Scam interceptors, kama kuna matapeli wanakupigia simu wao wakijua kuwa unatapeliwa basi wanaingia kati katika mawasiliano yenu na kukutahadharisha kuwa unaibiwa kata simu
Jamaa kwa kweli wako mbali na wanajitahidi
Hii wangefanya kampuni za mitandao huko ingekuwa safi sana maana namba zote za matapeli kama wanaziona kuzifuta au kuzifungia ni rahisi
 
Una watu ulaya afu huna akili
Iv kwel huo mda uliotumia kuandika mada si ulikua unatosha kbsa kuwapigia huduma kwa wateja 100 wakakupa maelekezo

Ktk jamii zetu tuna watu tu wahovyo na wazembe sana awapendi kutumia akili zao kila kitu wanauliza
 
Una watu ulaya afu huna akili
Iv kwel huo mda uliotumia kuandika mada si ulikua unatosha kbsa kuwapigia huduma kwa wateja 100 wakakupa maelekezo

Ktk jamii zetu tuna watu tu wahovyo na wazembe sana awapendi kutumia akili zao kila kitu wanauliza
Sikushangai ila hujui kilichotokea, pia hujui kwanini sikupiga simu huduma za wateja na hutojua, pia sina watu Ulaya, hata hiyo meseji niliyotuma nayo ni mambo mengine kabisa usiyoyajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…