ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,050
- 1,308
Wasalam wadau ,
Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni.
Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na afya yke imezorota, wadau nimekuja hapa mnishauri je ni salama yy kutoa na atumie njia gani yenye usalama bila kumletea shida.
Msaada wenu tafadhali.