Hakuna njia salama yeyote Duniani ya kuua mtoto asiye hatia aliyeletwa bila yeye kuchagua kwa sababu ya starehe na uzinzi wenu.Wasalam wadau ,
Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni.
Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na afya yke imezorota, wadau nimekuja hapa mnishauri je ni salama yy kutoa na atumie njia gani yenye usalama bila kumletea shida.
Msaada wenu tafadhali.
Njoo kwangu utapata mahitaji yote hadi miaka 3ya mtoto... asanteHakuna njia salama yeyote Duniani ya kuua mtoto asiye hatia aliyeletwa bila yeye kuchagua kwa sababu ya starehe na uzinzi wenu.
Ni maajabu maajabu mtu anaomba ushauri jinsi ya kumuua kikatili malaiks asiye na hatua halafu kuna majitu sijui ni magaidi ya namna gani yanashiriki kutoa ushauri badala ya kumtetea kiumbe asiye na hatia.
Wanaopaswa kumlinda na kumkinga kwa gharama zozote zile ndio wanapanga mauaji yake.
Eee Mungu mwenye huruma mwokoe mtoto huyo au wakikaidi wachukue wote... Baba yake mpe hata ajali wakakutane humo.
Roho imeniuma mno.. Sijui kama nitakula wala kulala.
Mkitekeleza hilo na mlaaniwe maisha yenu yoote... Na mje kufa kikatili kwa kuuawa na majitu makatili kama ninyi. Amina.
Aje kwangu asiwaze pm iko wazi...Njoo kwangu utapata mahitaji yote hadi miaka 3ya mtoto... asante
Elewa maelezo ,hali y mama ipo hatarini afy yake imedhoofika mana alijufungua tu mwaka jna kwa opresheni, anashindwa hadi kulaHakuna njia salama yeyote Duniani ya kuua mtoto asiye hatia aliyeletwa bila yeye kuchagua kwa sababu ya starehe na uzinzi wenu.
Ni maajabu maajabu mtu anaomba ushauri jinsi ya kumuua kikatili malaiks asiye na hatua halafu kuna majitu sijui ni magaidi ya namna gani yanashiriki kutoa ushauri badala ya kumtetea kiumbe asiye na hatia.
Wanaopaswa kumlinda na kumkinga kwa gharama zozote zile ndio wanapanga mauaji yake.
Eee Mungu mwenye huruma mwokoe mtoto huyo au wakikaidi wachukue wote... Baba yake mpe hata ajali wakakutane humo.
Roho imeniuma mno.. Sijui kama nitakula wala kulala.
Mkitekeleza hilo na mlaaniwe maisha yenu yoote... Na mje kufa kikatili kwa kuuawa na majitu makatili kama ninyi. Amina.
Anajua ana matatizo hayo bado anakulana kavu tena siku za hatari? Huu uzi ni wa kufuta. Kwa Tanzania kutoa mimba ni kosa la jinai, na atakayetoa ushauri wa namna ya kutoa mimba naye anapaswa kukamatwa pia. Kama ana shida aende hospital, madaktari watashauri cha kufanya.Wasalam wadau ,
Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni.
Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na afya yke imezorota, wadau nimekuja hapa mnishauri je ni salama yy kutoa na atumie njia gani yenye usalama bila kumletea shida.
Msaada wenu tafadhali.
siyo birth control 🤣 🤣 🤣 Mr alitakiwa amwagie nje au mke aweke kijiti waendelee Kuraruana tuh huku mtoto akikuaSi aende hospitali, daktari ndio aseme kuwa afya ya mama iko hatarini kwahiyo kuna ulazima wa kutoa mimba.
Kinyume chake akiamua kufanya mambo kienyeji anaweza KUFA. Pia kutoa mimba pasipokuwa na sababu za kitabibu ni kosa la JINAI.
Pia next time ajifunze kuwa kunyonyesha sio birth control, mimba inaingia tu.