Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

opondo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
526
Reaction score
1,321
IMG_20220401_135548_1.jpg

Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka?

Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida.

Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia.

Asanteni.
 
View attachment 2173166wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka?
Niko dar nataka nijipanue kifikra nakuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na singida.
Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake hipo chini pia.

Asanteni.
Peleka gairo kuna wakaguru hawajielewi ukimuambia pea moja ni 10k yeye anatoa tu
Ukitoka hapo nenda kwa yule spika aliyeutema ubunge, pea moja unapewa mbuzi au majogoo 2

Singida nenda kule kwa madelu. Lita 5 ya mafuta kwa pea mbili. Nenda na madumu kabisa
 
Hahaha sawa Mkuu, na target kijijini zaidi haswa minadani
 
Mkuu Dar sikuhizi kumekua na minada/magulio kila kona kuanzia kibamba, boko, mtongani, tabata nk. Haya ni baadhi ya maeneo ninayoyajua mimi naamini yapo mengi zaidi ya hayo jaribu kufanya uchunguzi utayajua tu.

USHAURI
Soma ratiba ya kila mnada huwa ni siku gani ukishajua ratiba kamili anza kupeleka mzigo huko naamini hutokosa kitu mkuu, jambo lingine zuri huwa muda wa mnada ukiisha basi kunakua na gari za mizigo zinazobeba bidhaa kupeleka kwenye mnada unaufuata siku nyingine.

Ni Hayo Tu.
 
View attachment 2173166wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka?
Niko dar nataka nijipanue kifikra nakuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na singida.
Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake hipo chini pia.

Asanteni.
Unauzaje kwanza tuanzie hapo
 
Mkuu Dar sikuhizi kumekua na minada/magulio kila kona kuanzia kibamba, boko, mtongani, tabata nk. Haya ni baadhi ya maeneo ninayoyajua mimi naamini yapo mengi zaidi ya hayo jaribu kufanya uchunguzi utayajua tu.

USHAURI
Soma ratiba ya kila mnada huwa ni siku gani ukishajua ratiba kamili anza kupeleka mzigo huko naamini hutokosa kitu mkuu, jambo lingine zuri huwa muda wa mnada ukiisha basi kunakua na gari za mizigo zinazobeba bidhaa kupeleka kwenye mnada unaufuata siku nyingine.

Ni Hayo Tu.
Ndio nafanya Mkuu, nazunguka minadani pia changamoto ya yeboyebo kwa huku mjini sio wavaaji sana kama ilivyo pembezoni au mikoani.
 
Unauzaje kwanza tuanzie hapo

Reject nauza 1700_2000 anaechukua nyingi nampa kwa 1500...

Uzuri wa reject unapata mpka zile sample ambayo ukienda kwa kariakoo unauziwa 1700 kwa PC mpaka 2200 kutokana na ukubwa/size ya yebo...
 
jumla uwa unanunuaje boss
 
Back
Top Bottom