Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

Utaratibu upo hivi.nenda police kachukue RB na utaenda kitengo chao cha cha cyber.utaandikiwa barua ya kukuruhusu wewe kupata hivo message kwenye mtandao husika.utawapelekea hiyo barua ihalotel.Halotel watatoa printout ya mawasiliano watayaweka kwenye bahasha kama ushahidi na watapeleka police.kama utakuwa umefungua kesi hiyo bahasha ya ushahidi itapelekwa mahakamani kama ushahidi kwahyo sio kwamba watakupa wewe.
Sasa kwa hapo kuipata hiyo hela inabidi ujue jinsi ya kucheza karata zako vizuri usipoangalia hela zinaweza kuishia kwa maaskari kwani wao watajua ukweli kabla yako
Asante sana kwa ushauri mzuri mkuu. Nitafanya hivyo. Watu wengine pia wamefaidika mchango wako. Thanks again
 
Kama wanatumia smart phone fanya kila uwezalo pata simu zao .Halafu nenda kwa Laptop au Desktop nunua Application ya ku-recover kila kilichofutwa kwenye cm zao. Kwa sasa sijajua inauzwaje ila mimi nilinunua kwa Dola 27 then utapata kila kitu kilichofanywa kupita cm hiyo tokea ck ya kwanza iliponunuliwa.
Wow! God bless JF family. Great suggestions indeed. Shukrani sana mkuu
 
huku kwetu ni kipigo tu hadi utaongea
Issue ni kwamba nimeishi abroad na kwa kule ni kinyume cha sheria kufanya hivyo, halafu wazazi wa vijana nawafahamu. Ni utu wangu tu unanizuia kufanya hivyo. Ila uwezo na $$ ya kuhakiki hilo linafanyika upo. Asante again
 
mkuu kwa hapa bong nakushaur taft conncton ya mfanykz wa halotel den atakusadia n kosa ndio ila hao vijn wanankan hawJui sheria ukshpt ushahd imesh hy
 
Utaratibu upo hivi.nenda police kachukue RB na utaenda kitengo chao cha cha cyber.utaandikiwa barua ya kukuruhusu wewe kupata hivo message kwenye mtandao husika.utawapelekea hiyo barua ihalotel.Halotel watatoa printout ya mawasiliano watayaweka kwenye bahasha kama ushahidi na watapeleka police.kama utakuwa umefungua kesi hiyo bahasha ya ushahidi itapelekwa mahakamani kama ushahidi kwahyo sio kwamba watakupa wewe.
Sasa kwa hapo kuipata hiyo hela inabidi ujue jinsi ya kucheza karata zako vizuri usipoangalia hela zinaweza kuishia kwa maaskari kwani wao watajua ukweli kabla yako
hichi kipande nimekipenda sana kwamba""UNAWEZA PIGWA IWE KWELI AU SIO KWELI[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hebu twende taratibu! Hao jamaa shule kichwani ipo au ni wale unaoweza kuwadanganya kiboya boya tu na wakaamini?

Kwa kuangalia maelezo yako, hao Watuhumiwa wanonekana kama Mambwiga fulani hivi wasiojua chochote ndo maana ulipowatajia habari za polygraph, wakaogopa! Kama ndivyo, then fanya yafuatayo!

Mosi... hakuna cha polygraph wala nini lakini kv inaonesha wanaogopa hiyo kitu, basi nenda polisi kisha afande atakayekabidhiwa kesi impe stori mzima jinsi jamaa walivyokuwa wamechachawa waliposikia habari za polygraph, kisha mpange Afande mufanye polygraphing fake!

How to make it happen?!

Kuwe na polisi mmoja, fake polygrapher mmoja na doctor/fake doctor mmoja!!

Jamaa wanakuwa arrested halafu mmoja anaanza kuingizwa kwenye "chumba cha polygraph" ambacho kutakuwa na ONLY a police officer na huyo fake polygrapher.

Fake polygrapher ata-set mitambo yake tisha bwege, huku mrija mmoja ukifungwa kifuani kwa mtuhumiwa upande wa moyo, na hakikisha hiyo mirija mirija inakuwa connected kwenye kifaa cha umeme... anything like betri ya gari lakini ionekane more of power device.

Polygrapher fake akisha-connect hayo mamitambo (bila shaka hapo jamaa atakuwa kojo debe), atatulia as if kuna kitu anasubiri, kisha itokee mazungumzo kama yafuatayo:-

Police: Hey, mbona huendelei na hilo zoezi? Unajua kuna kesi zingine zinasubiri?"
Polygrapher: Sa Afande si unajua hatuwezi kufanya hili zoezi bila daktari kumpima mtuhumiwa mapigo ya mo..."
Police: Daktari daktari bhana, hebu anza kazi mara moja!

Polygrapher: Afande, hizi mashine za Kirusi ni tofauti na zile za KImarekani. Hii huwa inafanya synchronization (taja neno lolote gumu gumu) ya mapigo ya moyo kupitia mishipa mipana ya damu ya haemoglobini.

Police: Kwahiyo?

Polygrapher: Afande, kama hatujui uimara wa moyo wake, halafu ile synchronization kwenye mishipa ya damu ika-detect uongo kwenye maelezo yake, hapo hapo inaweza kutokea otorhinolaryngologism inayoweza kupasua mishipa ya damu ya kwenye pulomonari ateri.

Police: Toka... kama unaogopa nafanya mwenyewe.

Jomba, asipotaja zilizobaki zipo wapi, basi sio mimi!
[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom