Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Yah gari nzuri kwa low average tulio wengiKweli kabisa, mimi ninako ka piston 4, mwaka wa nne sijawahi kufungua injini, ni oil tu na break pad,
Nimeshawahi kwenda Moshi na kurudi kwa siku moja.
Nilitoka Dar alfajiri saa11 nimefika Moshi saa5 asubuhi, saa 7 mchana nikaanza safari ya kurudi, nikafika Dar home Kitunda saa 2 usiku.
Kanafunguka mpaka 140km/h bila stress