Yah gari nzuri kwa low average tulio wengiKweli kabisa, mimi ninako ka piston 4, mwaka wa nne sijawahi kufungua injini, ni oil tu na break pad,
Nimeshawahi kwenda Moshi na kurudi kwa siku moja.
Nilitoka Dar alfajiri saa11 nimefika Moshi saa5 asubuhi, saa 7 mchana nikaanza safari ya kurudi, nikafika Dar home Kitunda saa 2 usiku.
Kanafunguka mpaka 140km/h bila stress
Hivyo vipasso vingekuwa sio vigari visingeendeshwa sn uarabuni n nchi za ulaya…Sasa kidude kina cc 900, unaenda nacho wapi hata Dar to Bagamoyo kinafika kipo hoi? Wabongo tuache vitu rahisi... Acheni uoga wa maisha hakuna gari isiyotumia mafuta
Huuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa, mimi ninako ka piston 4, mwaka wa nne sijawahi kufungua injini, ni oil tu na break pad,
Nimeshawahi kwenda Moshi na kurudi kwa siku moja.
Nilitoka Dar alfajiri saa11 nimefika Moshi saa5 asubuhi, saa 7 mchana nikaanza safari ya kurudi, nikafika Dar home Kitunda saa 2 usiku.
Kanafunguka mpaka 140km/h bila stress
Chukuwa raumNdugu zangu nina Kavitz Kangu huku Tanga Mjini ..kanasaidia kwa mizunguko Ya hapa barabara za namba ,,sasa nimevuta nguvu kidogo nilitaka nipate tena gari nyengine ndogo ya kunisaidia hata nikitaka kutoka nje ya Tanga iwe Rahisi ..nimewaza nikafikiri lakin bado nipo njia panda kwenye pendekezo la gari ipi niwe nayo ..Bajeti Yangu ni hizi hizi gari zetu za mkononi Bei(5M mpaka 8M) naomba nipewe mapendekezo wana JF ..
Kwanini mkuu, tupo ufafanuziWALA MSIPEANE MOYO HUMU TUTAFUTENI HELA PASSO SIYO GARI YA KUNUNUA
Hataki kuuza utajiri wakeMkuu niuzie iyo kama hutojali, 3M
Haya njoo unyonye korodani🍆 zangu maana umezipenda...Hivyo vipasso vingekuwa sio vigari visingeendeshwa sn uarabuni n nchi za ulaya…
Shida wabongo n ulimbukeni… yan mm hela yngu zen unichagulie cha kumiliki?
Na ukute hata spok y biycle huna, yan hukuwai miliki chochote zaid y korodani