Naomba kukiri bila shurti makalio yana umuhimu wake, akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha

Naomba kukiri bila shurti makalio yana umuhimu wake, akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake.

Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili.

Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha.

Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka kupeleka ndege anga za mbali au?

Naomba nisihojiwe maswali kwa msimamo wangu huu, nitalia.

Screenshot_20250215-135441_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom