Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Popoma linakubalika na kila mtu ni basi tu tunapenda kulidiss ili kulipunguzia ego yake, ukitaka kujua kama Genta anakubalika thread zake hata kama za kijinga kama hii lakini zinapata wachangiaji wa kutosha.Ninamuelewa sana GENTAMYCINE mkuu.
Jamaa lina lugha flani hivi ya kimipasho mipasho kama ya wadada wa buza.