Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo?
Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa Maneno kuwa 'Oya mwana kuwa Mvumilivu bado mwenzio Nakunya na sijamaliza' mpaka Watu wengi wapende Kuguna tu?
Natamani kumjua Mbunifu wa hili.