Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Lakin mbona tunapendwa sana na hao madada wenye 30+?
Wengine tumepitia mambo mengi pia ambayo huenda mtu akawa na 50 lakini bado hajawahi kupitia level hizo
Umeshasema wengine! Hakuna jipya chini ya jua ndugu yangu ukiona mtu hajapitia maisha fulani hiyo ni ramani tu ya maisha imempitisha tofauti na wewe ulikopita
 
kumbe ukiongea hadhira inabidi uwaangalie kwny paji la uso ili kujiongezea confidence. nime gain somthng
Hii ni kweli. Ukitongoza mwanamke muangalie usoni na wala usipepese macho kama vile kuangalia pembeni. Hii ni kati ya strategy ambazi huwanyima wanawake nguvu. Sijawahi kujua explanation yao. Hatq mwanamke aweje akikodolewa jicho la usoni lisopepeseka utaona anabadilika. Labda Mshana hii inatokana na nini. Halafu kila akiinama na kuinua kichwa akute umeangalia palepale..huwafanya wanawake kuamini you are serious.
 
Ni tecnic moja matata sana na inatumiwa sana na maaskari.. In fact humwangalii usoni bali juu kidogo ya macho take! Akiangusha yake ni vigumu mno kuweza kuhit back
 
Bro uko macho usiku huu. Nimeshangaa kunipa like. Au ndo unasheherekea Xmas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom