Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Mitandao ya simu ipo ila muda mwengne inasumbua , huduma za kibenki zitumikazo sana ni nmb
 
Wengi wenyeji au wazawa wa maeneo ya pwani ndio wanaweza ishi huko..

Hakuna pesa..njaa tupu utashindia ngisi na nazi tu.

#MaendeleoHayanaChama
Kibo watumishi wa mikoa mingine wanaishije uko
 
Dada una maswali ya kitoto sana.

Yaani unajua kuna JF lakini hujui kuhusu google map wala google as a search engine.

Eti unauliza kama mtu anaenda kazini anapanda boti?

Hivi walio Unguja wakiwa wanaenda kazini wanapanda boti?

Eti kuna mitandao ya simu? Hivi Mafia unavyodhani ni kisiwa kama kijiji? Ni Wilaya nzima ile ujue.

Sijui elimu uliyosoma miaka mingi imekusaidia nini? Ufanye mambo 2:

1. Ukadai ada zako shuleni kwa sababu hujaelimika.

2. Umuombe radhi baba/mama yako kwa kupoteza pesa zao kwa sababu shule wamekufunza vitu vizuri na uligoma kabisa kuelemika
Pathetic.
 
hata mambo ya ushirikina gogle itasoma et
 
Daah hii dunia ngumu Sana kweli ajikwezaye hushushwa yaani ulichoandika kinakutafsiri Kama mshamba
 
Ni
Ni kama Zanzibar mkuu,kila mgeni anajulikana na asilimia 99.9% ni Waislamu kwa hiyo mwezi kama huu ni shida kwa makobe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…