Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

Kweli michosho sana huyu jamaa
Umerejea lini wewe jamaa? Niliona umepigwa ban. Bila shaka umerejea na adabu na utakuwa na heshima humu jukwaani😀😀😀😀 .acha matusi sasa.na uwe na heshima .usimguse ephen wala mimi wala yeyote yule humu jukwaani kwa matusi yako. Walifanya vyema sana kukufungia maana ulizidi mimatusi yako. Naomba wakufungie tena ukianza kutukana😀😀😀
 
Kama unatumia android device nenda playstore search X au twitter kisha UPDATE.. mwezi huu kuna update mpya ndio maana inasumbua mpaka ufanye update
Nashukuru sana .kuna mdau humu alikuwa ametoa na kunipatia ushauri kama uliotoa .ambapo baada ya kufanya hivyo nimeona matunda yake ,kwa kuwa sasa huduma ya X imerejea kama kawaida na ninaendelea kufurahi kama kawaida.
 
Yule chawa wa mama aliyesema mtandao wa X ufungwe kwa sababu jina lake lina maudhi ya X nadhani maombi yake yamefanikiwa. Sijawahi kuona nchi ya kipuuzi na inayominya haki za raia wake kama Tanganyika.
 
Utakuwa umechanganya funguo za gari na za friji, inapatikana bila tatizo.
 
Mbunge wa Mtama anahusika
 
Hapa ni Lucas mwanachama wa JF..

Kisha kuna Lucas chawa wa CCM.

Mimi sina shida na Lucas kama mwanachama. Akitatizika, basi tupp nae. Ila akileta zile kububujikwa na machozi basi, tunatifuana.
Kwenda....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…