Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.

Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bubujikwa na machozi utafunguka tu
 
Mtandao muuzime wenyewe CCM halafu uje kutuuliza sisi kweli? Mpigie bwana Nape atakujibu na yule mwenyekiti wenu wa vijana maana katika mambo yote ya msingi yeye anaona apiganie mtandao ufungwe for cheap reasons ingali mpaka ikulu wanautumia kuweka matangazo yao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.

Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kamuulize Abudul wa Kizimkazi anayekulipa posho za bando
 
We kweli punga yaani uchawa wite halafu unakuja kutuuliaa sisi kuhusu Twitter
 
Back
Top Bottom