Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

Nakuhakikishia ya kuwa kwa mimatusi yako hiyo ni lazima upigwe tu Ban nzito nzito mpaka ububujikwe machozi mazito mazito.
Nimekuwa kwenye ban kwa zaidi ya miezi sita jee imekuongezea zile buku saba unazotupiwa kila siku ? Wewe ukipigwa ban ndiyo utakufa njaa maana unalipwa kwa haya mashudu unayopost humu,mimi naingia humu for leisure tu si zaidi ya hapo,nisipoingia humu nafanya starehe nyingine tu.
 
Kaamulize yule kilaza mnamuita Kawaida anayetaka X ifungiwe.

Halafu uache ushamba hakuna mtandao wa Twitter kwa sasa.
 
Huu mwandiko si wako, hii ni remote kabisa, umejua kunichekesha
Eeeh Lucas chawa kindakindaki hakusikia vijana wa 💚💛waliiomba TCRA ifungwe ina maudhui ya X-rated movies ilihali mie sijawahi kuziona mpaka mtu u search ilikuwa janja ya kumzuia dada size zero wa Marekani.
 
chief hengaya, chui jike, bibi kizimkazi, bi tozo, bibi loyal tour, mama abduli ukipendelea zaidi muite chura, ni shida!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.

Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Twitter haina shobo na washamba wa aina yako. Hapa ni jf, nenada kaulize habari za huko X huko huko.
 
Back
Top Bottom