Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

Nakuhakikishia ya kuwa kwa mimatusi yako hiyo ni lazima upigwe tu Ban nzito nzito mpaka ububujikwe machozi mazito mazito.
Nimekuwa kwenye ban kwa zaidi ya miezi sita jee imekuongezea zile buku saba unazotupiwa kila siku ? Wewe ukipigwa ban ndiyo utakufa njaa maana unalipwa kwa haya mashudu unayopost humu,mimi naingia humu for leisure tu si zaidi ya hapo,nisipoingia humu nafanya starehe nyingine tu.
 
Kaamulize yule kilaza mnamuita Kawaida anayetaka X ifungiwe.

Halafu uache ushamba hakuna mtandao wa Twitter kwa sasa.
 
Huu mwandiko si wako, hii ni remote kabisa, umejua kunichekesha
Eeeh Lucas chawa kindakindaki hakusikia vijana wa 💚💛waliiomba TCRA ifungwe ina maudhui ya X-rated movies ilihali mie sijawahi kuziona mpaka mtu u search ilikuwa janja ya kumzuia dada size zero wa Marekani.
 
chief hengaya, chui jike, bibi kizimkazi, bi tozo, bibi loyal tour, mama abduli ukipendelea zaidi muite chura, ni shida!
 
Twitter haina shobo na washamba wa aina yako. Hapa ni jf, nenada kaulize habari za huko X huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…