Naomba kuuliza hili tatizo la thread zangu Mpya ninazopost lipo kwangu tu au Mimi ndo sijui namna ya kuview my post status.

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
 
Kuna wakati Mungu anaondoa ulinzi wa malaika zake ili shetani na majeshi yake yaingie mkenge ayapatie kibano na nguvu za Mungu zionekane. Watu wengine Mungu anaamua kuwaacha kama anaona wamekengeuka na toba hawaombi anaondoa ulinzi wa malaika hao
 
Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
Ingia hapa utajua
Screenshot_20240108-052530.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom