Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
90%A/C nikijimtambo kilichopo pembeni mwa injini, na ili kifanye kazi ni lazima kizungushwe, ...kinazungushwa na nini?* Ili iwe katk mzunguko kuna belt ilie valishwa kutoka ktk pul ya njin had ktk kijimtambo hicho,pindi tu! uwashapo gari lako !!" kijimtamba hicho huzunguka ktk hali ya uwepesi sana muda wote wa njin kuunguruma,, pia pale tu! ...unapo taka hewa ndani ya gari lako?* inakulazim Ubonyeze kitufe au swich ilie andikwa A/C,, hiki kitufe kinatumia umeme wa gari aina ya DC, moja kwa moja hadi kwenye kimtambo kile cha A/C ...hapo ndipo kuna Lock swich .yaani on & off ,ambapo ukibonyeza kule ndani ...ili kile kimtambo kifanye kazi na kule chini kunajiunganisha ,hapo ndipo mzigo unaongezeka ktk njini, Nisawa na gari uipe mzigo, au ikiwa inapanda kiliman,, Nilazima gari iwe nzito na kubadili mlio kua mzito, Na ndivyo ulaji wa mafuta huongezeka, NISAMEHEMI KW UJUMBE MREFU, JAPO KWA FAIDA nawatakia kion njema wa Jf bay
Naomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
Wewe pekee umejibu swali la mwanajamviAC ya gari inatumia umeme Wa gari . unaweza ukawasha Ac ya gari pasipo injini ya gari ikiwa imewaka hapo inakuwa inatumia umeme kutoka kwenye betri. Ila ukifanya hivyo betri yaweza kuishiwa chaji. Kwa hiyo ukiwasha gari AC itaanza kutumia umeme toka kwenye alternator ambayo ndiyo hufua umeme Wa gari. Kadri alternator inahitajika kufua umeme kiwango cha matumizi ya mafuta huongezeka.
Ni kweli matumizi ya mafuta yanaongezeka kwasababu gari unakuwa umeiongezea mzigo.Mbona huongeza consumption ya mafuta
Ni kweli. Pamoja na kwamba AC inakula mafuta bado ni bora kutumia.kwa hali ya joto la hapa Dar pamoja na kutunza usafi wa ndani ya gari. Siku zote kizuri kina gharama.Bora uwashe AC tu hapa mjini. Fungua madirisha uchakaze seat.
Watu wanatofautiana uwezo wa kuelezea.... hilo haliwafanyi wawe vilaza, kama unajua muelekeze usidhihaki watu humu unaweza kukuta umemuita mzazi wako kilaza mahala hapaWengi waliokujibu ni vilaza.... ac inatumia gas ndio, ila inaongeza work load kwenye engine..kwa sababu ya cooling ....unapowasha ac, ambapo mikanda yake ipo connected na cooling ya engine inaongeza uzito and so ili umentain rpm inayotakiwa utakanyaga mafuta zaidi.... then consupmtion inaongezeka....
Umeme na mafuta vyote vinatumika. Umeme kwa fan.AC ya gari inatumia umeme Wa gari . unaweza ukawasha Ac ya gari pasipo injini ya gari ikiwa imewaka hapo inakuwa inatumia umeme kutoka kwenye betri. Ila ukifanya hivyo betri yaweza kuishiwa chaji. Kwa hiyo ukiwasha gari AC itaanza kutumia umeme toka kwenye alternator ambayo ndiyo hufua umeme Wa gari. Kadri alternator inahitajika kufua umeme kiwango cha matumizi ya mafuta huongezeka.
Watu wanatofautiana uwezo wa kuelezea.... hilo haliwafanyi wawe vilaza, kama unajua muelekeze usidhihaki watu humu unaweza kukuta umemuita mzazi wako kilaza mahala hapa
Kwani umeambiwa utuambie unagari au hauna,,badala ya kujibu swali ww unasema una cresta,,Siyo mjuzi sana, lkn naona ac inaongeza matumizi ya mafuta, nina cresta E GX100 vvti
haters bana..wtf u hate.Kwani umeambiwa utuambie unagari au hauna,,badala ya kujibu swali ww unasema una cresta,,
....How?Bora uwashe AC tu hapa mjini. Fungua madirisha uchakaze seat.
Iko hivii:-Naomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
Wewe ni muongo kupindukia.AC ya gari inatumia umeme Wa gari . unaweza ukawasha Ac ya gari pasipo injini ya gari ikiwa imewaka hapo inakuwa inatumia umeme kutoka kwenye betri. Ila ukifanya hivyo betri yaweza kuishiwa chaji. Kwa hiyo ukiwasha gari AC itaanza kutumia umeme toka kwenye alternator ambayo ndiyo hufua umeme Wa gari. Kadri alternator inahitajika kufua umeme kiwango cha matumizi ya mafuta huongezeka.
Nadhani umepata jibu leo.Hili swali nishaulizaga watu wengi hawakunipa jibu, ngoja niende choooni nikakkate gogo nije nijifunze humu
Simple and clearWengi waliokujibu ni vilaza.... ac inatumia gas ndio, ila inaongeza work load kwenye engine..kwa sababu ya cooling ....unapowasha ac, ambapo mikanda yake ipo connected na cooling ya engine inaongeza uzito and so ili umentain rpm inayotakiwa utakanyaga mafuta zaidi.... then consupmtion inaongezeka....
Ndio kwa sababu wakati Ac unapoiwasha silence ya gari inaongezeka na ulaji wa mafuta nao lazima uongezekeNaomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
gari gani iyoNikiweka mafuta ya elfu kumi naenda na kurudi kazini kwangu...bila kuwasha ac!!!nikiweka ya hiyo hela na nikawasha ac nitaenda tu na taa ya mafuta kuisha itawaka...hivyo matumizi ya ac. huongeza matumizi ya mafuta