Naomba kuuliza hivi AC ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nini?

Naomba kuuliza hivi AC ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nini?

Wengi wamekua wakijitesa na joto la DAR vumbi kwenye magari wakiogopa kutumia A/C mbali ya Matumizi ya Kawaida ya mafuta kwenye gari ukiwasha AC pekee yake hutumia Lita moja ya mafuta ndani ya masaa manne toka nilipojua hili huwa sijitesi tena na joto vumbi
 
Una maana gani unaposema cooling na unasema unakanyaga mafuta zaidi!!! Kwani AC haifanyi kazi ukiwa umesimama???

Mzunguko wa Mtambo wa AC unategemea mzunguko wa engine! GARI ikishawaka tu hata kama haitembei engine huzunguka, na gari hata aitembei mafuta huwa yanatembea kwa kiasi kidogo, linapoenda work load ya engine inakuwa kubwa then kwa sababu ya mwendo and at the same time ac kuwaka, inaongeza ulaji wa mafuta
 
Kifupi a/c aitumii mafuta gari utumia mafuta ila ukiwasha a/c acceleration uongezeka kidg tofauti na usipotumia jaribu chunguza gari yako utagundua kwa dar sababu ya jua ndo kabs kama utatumia gar yako asubuhi au usiku ulaji utakua mdogo coz hali ya hewa yani kama friji kipind cha joto utumia umeme mwingi ili kukupa hewa utakayo ila kipind cha baridi inakula kidg hata ac za majumban pia kama nyumba inapigwa na jua sana akuna miti basi utaona ac sio rafiki kabs epuka kutumia gar na ac mchana tena kweny foleni
 
Mzunguko wa Mtambo wa AC unategemea mzunguko wa engine! GARI ikishawaka tu hata kama haitembei engine huzunguka, na gari hata aitembei mafuta huwa yanatembea kwa kiasi kidogo, linapoenda work load ya engine inakuwa kubwa then kwa sababu ya mwendo and at the same time ac kuwaka, inaongeza ulaji wa mafuta
Depends na situations. On highway AC is better.City drive Windows down is better. Better zaidi ni Windows Up na AC Off.
4d129c9ea92cbba2c8fe4d0cf2f77a01.jpg
 
Kumbe kuwapa wapa watu lift na Ac on .. unaongeza consumption ya fuel, ngoja nianze kuwapiga chini
 
Back
Top Bottom