Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
poa sana mkuuHapana huwez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa sana mkuuHapana huwez
Hako kamtambo kanaitwa COMPRESSOR. The rest of your explanation is valid by 99% in my opinion.A/C nikijimtambo kilichopo pembeni mwa injini, na ili kifanye kazi ni lazima kizungushwe, ...kinazungushwa na nini?* Ili iwe katk mzunguko kuna belt ilie valishwa kutoka ktk pul ya njin had ktk kijimtambo hicho,pindi tu! uwashapo gari lako !!" kijimtamba hicho huzunguka ktk hali ya uwepesi sana muda wote wa njin kuunguruma,, pia pale tu! ...unapo taka hewa ndani ya gari lako?* inakulazim Ubonyeze kitufe au swich ilie andikwa A/C,, hiki kitufe kinatumia umeme wa gari aina ya DC, moja kwa moja hadi kwenye kimtambo kile cha A/C ...hapo ndipo kuna Lock swich .yaani on & off ,ambapo ukibonyeza kule ndani ...ili kile kimtambo kifanye kazi na kule chini kunajiunganisha ,hapo ndipo mzigo unaongezeka ktk njini, Nisawa na gari uipe mzigo, au ikiwa inapanda kiliman,, Nilazima gari iwe nzito na kubadili mlio kua mzito, Na ndivyo ulaji wa mafuta huongezeka, NISAMEHEMI KW UJUMBE MREFU, JAPO KWA FAIDA nawatakia kion njema wa Jf bay
Umeeleza vizuri sana mkuu. I'm dummy in vehicles but got everything spot on.Iko hivii:-
Air conditioner ni mfumo unaohusisha vitu anuai
1. Compressor
2. Evaporator
3. Condenser
4. Capillary tube
5. Expansion valve
6. Accumulator
7. Pipes
N.k
Ndani ya compressor kuna pump yenye piston moja. Ukubwa wa hiyo pump ndio nguvu ya compressor horse power(HP)
Compressor ina pulley ambayo huvishwa belt (fan belt) kupitia pulley ya alternator na ya fan hadi kwenye pulley ya ingine.
Ukiwasha engine inazungusha fan, alternator na compressor iliyo free (haiizungushi piston)
Wakati huo ndipo engine hubeba mzigo ambao ni Gear box na differenture (dif) na body offcourse plus mizigo utakayopakia.
Mizigo hiyo uzito wake hupungua kadri gari inavyoongeza mwendo i.e kutoka gear kubwa kuja ndogo (N.B the bigger the number the lower the gear)
Hapa uta experience matumizi ya kawaida ya gari yako.
Unapowasha switch ya A/C unakuwa umeiunga piston ya compressor (by induction manner) kwa mfumo kama wa clutch na pulley inayozungushwa na fan belt kutoka kwenye engine.
Piston ya compressor hu pump gas iliyoko kwenye system inayokuwa composed na nilivyovitaja kwenye orodha 1 - 7.
Kwenye system ya air-conditioner gas huwa sealed na haipaswi kuwa na leakage,
Gas inakuwa na matabaka mawili, pressure na liquid, compressor inapokuwa Idol, gas/liquid hu settle kwenye low pressure side of the system (unapaswa kuelewa system ya valve ya piston ina tabia gani pia)
Pump ya compressor huanza kusukuma gas pressure na liquid kwa mgandamizo mkubwa! Kitendo hiki huhitaji nguvu kubwa kuizungusha pump ya compressor ambapo kwa mzigo huo automatically piston hutakiwa kuchoma mafuta ya ziada kukabiliana na uhitaji wa nguvu inayodaiwa na compressor ya air-conditioner.
Fuel pump huongeza pressure ya fuel towards combustion chambers na ndivyo huli empty tank lako.
Nimejaribu kufanya short-cut kidoogo ili nisikuchoshe.
Kama una swali uliza hapa hapa.
Sijibu pm hata moja.
Yani haters hawana dogo khaaa!haters bana..wtf u hate.
Pole sana mkuu, haters wapo kila mahali msamehe bure.Nimejibu swali na nimetoa uzoefu, ttzo nini? hilo ni dhambi kusema nina gari.
Naomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
haters bana..wtf u hate.
Unawaita vilaza wenzio wakati sentensi ya kwanza umeanza kwa kukubali jibu la mchangiaji mmojawapo. Sema unaongezea kidogo. Hata hivyo kuna MANENO umeandika kama unakimbizwa pamoja na kujiona uko vizuri. Ndio mnaosumbua wenzenu kazini nyie kwa dharau.Wengi waliokujibu ni vilaza.... ac inatumia gas ndio, ila inaongeza work load kwenye engine..kwa sababu ya cooling ....unapowasha ac, ambapo mikanda yake ipo connected na cooling ya engine inaongeza uzito and so ili umentain rpm inayotakiwa utakanyaga mafuta zaidi.... then consupmtion inaongezeka....
Mkuu umetudanganya sana.
Ipo hiv Compressor ya AC inaendeshwa na Crankshaft (main Engine) unapowasha button ya ON/OFF Moja kwa Moja inatuma signal kwny compressor. Umeme huwa unaendesha zile blower za ndan tu. Ukitaka ujiridhishe zima gar press button ya ac then uje utupe majibu.
Kumbuka
Ac inatumia kias kidogo sana cha mafuta.
Nilicho gundua hapa wengi ni madereva, sio mafundi,, ili uamini tazama wana pinga hata hayo ulio wa fafanulia kw kina zaid,, nimemsikia moja ana sema AC inazungushwa na gring-shaft,, alafu hafafanui!:Hako kamtambo kanaitwa COMPRESSOR. The rest of your explanation is valid by 99% in my opinion.
Kuwasha AC lazima kuwa na umeme. Kama unataka kujipumzisha kwenye gari baada ya kuona joto ndani kwako jifungie ndani ya gari weka on tu AC itawaka. Ila betri ya gari baada ya saa moja hiyo betri itakuwa imeisha chaji. Ili betri isiishe nguvu inabidi gari uliwashe, ili kifaa kinaitwa alternator kifanye kazi. Kazi ya hiki kifaa ni kuongeza nguvu betri muda wote inapotumika. Hivyo ukitumia AC wakati umewasha gari betri itabaki kuwa na nguvu muda wote, kwa kufanya alternator kufanya kazi ndio mafuta yanatumika. AC yenyewe haitumii mafuta.Naomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
Yaani ukiwa unaacha madirisha wazi wakati unaendesha, moshi mweusi wa magari (unajua dar kuna magari mengi sana so na air inejaa sana moshi ingawa mwingine hatuuoni), vumbi vumbi ndogo ndogooo na kila aina ya uchafu vinaingia kwenye gari. Inapelekea dashboard na seat zinachakaa (kama huoshi mara kwa mara) kupauka na kufubaa.....How?
Well said.A/C nikijimtambo kilichopo pembeni mwa injini, na ili kifanye kazi ni lazima kizungushwe, ...kinazungushwa na nini?* Ili iwe katk mzunguko kuna belt ilie valishwa kutoka ktk pul ya njin had ktk kijimtambo hicho,pindi tu! uwashapo gari lako !!" kijimtamba hicho huzunguka ktk hali ya uwepesi sana muda wote wa njin kuunguruma,, pia pale tu! ...unapo taka hewa ndani ya gari lako?* inakulazim Ubonyeze kitufe au swich ilie andikwa A/C,, hiki kitufe kinatumia umeme wa gari aina ya DC, moja kwa moja hadi kwenye kimtambo kile cha A/C ...hapo ndipo kuna Lock swich .yaani on & off ,ambapo ukibonyeza kule ndani ...ili kile kimtambo kifanye kazi na kule chini kunajiunganisha ,hapo ndipo mzigo unaongezeka ktk njini, Nisawa na gari uipe mzigo, au ikiwa inapanda kiliman,, Nilazima gari iwe nzito na kubadili mlio kua mzito, Na ndivyo ulaji wa mafuta huongezeka, NISAMEHEMI KW UJUMBE MREFU, JAPO KWA FAIDA nawatakia kion njema wa Jf bay
Una maana gani unaposema cooling na unasema unakanyaga mafuta zaidi!!! Kwani AC haifanyi kazi ukiwa umesimama???Wengi waliokujibu ni vilaza.... ac inatumia gas ndio, ila inaongeza work load kwenye engine..kwa sababu ya cooling ....unapowasha ac, ambapo mikanda yake ipo connected na cooling ya engine inaongeza uzito and so ili umentain rpm inayotakiwa utakanyaga mafuta zaidi.... then consupmtion inaongezeka....
Soma kwa bidii mwananguAmeeleza kihovyo hovyo!!
Yeye anaelewa bali hawezi kumueleza mtu mwingine. Nisubiri narudi kutoa shule.
Unanicheka au unanielewesha?