Naomba kuuliza hivi AC ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nini?

Unapo wacha AC engine inatumia nguvu nyingi zaidi kuzungusha ule mtungi wa Ic lazima mafuta yaende zaidi
 
Hako kamtambo kanaitwa COMPRESSOR. The rest of your explanation is valid by 99% in my opinion.
 
Umeeleza vizuri sana mkuu. I'm dummy in vehicles but got everything spot on.
 
Naomba wote mkagoogle, nikirudi nikute jibu la hili swali. Hii ni homework yako Leo Siku ya iddi2
 
haters bana..wtf u hate.

Kuuliza haku maananishi chuki. Ni upotevu wa muda kujadili maswali mwengine ya kipmbv. Ni sawa na kuuliza Raisi wa Amerika anakula au kulala?
Aina fulani ya maswali ni ya kusogezea watoto siku siyo mijiti yenye midevu mpaka uvunguni.
 
Unawaita vilaza wenzio wakati sentensi ya kwanza umeanza kwa kukubali jibu la mchangiaji mmojawapo. Sema unaongezea kidogo. Hata hivyo kuna MANENO umeandika kama unakimbizwa pamoja na kujiona uko vizuri. Ndio mnaosumbua wenzenu kazini nyie kwa dharau.
 

Yuko sawa kama atawasha tu fan ku blow air ndani ya gari, skutaka tu kupoza hiyo hewa hapo ndio mafuta hutumika. Nadhani hajaelewa hapo.
 
Hako kamtambo kanaitwa COMPRESSOR. The rest of your explanation is valid by 99% in my opinion.
Nilicho gundua hapa wengi ni madereva, sio mafundi,, ili uamini tazama wana pinga hata hayo ulio wa fafanulia kw kina zaid,, nimemsikia moja ana sema AC inazungushwa na gring-shaft,, alafu hafafanui!:
 
Naomba kuuliza hivi ac ya gari unapoiwasha inatumia mafuta au inatumia nn?msaada wanajamvi
Kuwasha AC lazima kuwa na umeme. Kama unataka kujipumzisha kwenye gari baada ya kuona joto ndani kwako jifungie ndani ya gari weka on tu AC itawaka. Ila betri ya gari baada ya saa moja hiyo betri itakuwa imeisha chaji. Ili betri isiishe nguvu inabidi gari uliwashe, ili kifaa kinaitwa alternator kifanye kazi. Kazi ya hiki kifaa ni kuongeza nguvu betri muda wote inapotumika. Hivyo ukitumia AC wakati umewasha gari betri itabaki kuwa na nguvu muda wote, kwa kufanya alternator kufanya kazi ndio mafuta yanatumika. AC yenyewe haitumii mafuta.
 
Yaani ukiwa unaacha madirisha wazi wakati unaendesha, moshi mweusi wa magari (unajua dar kuna magari mengi sana so na air inejaa sana moshi ingawa mwingine hatuuoni), vumbi vumbi ndogo ndogooo na kila aina ya uchafu vinaingia kwenye gari. Inapelekea dashboard na seat zinachakaa (kama huoshi mara kwa mara) kupauka na kufubaa.
Sasa si bora tu uwashe tu AC.
Hafu AC ikiwa ON na OFF kwa safari ya Mbagala to Ubungo nishajaribu, tofauti ni negligible pamoja na foreni zote hizi.
 
Well said.
 
Una maana gani unaposema cooling na unasema unakanyaga mafuta zaidi!!! Kwani AC haifanyi kazi ukiwa umesimama???
 
KIFUPI NI KWAMBA UKIWASHA AC LAZMA MATUMIZI YA MAFUTA YAONGEZEKE,KUTOKANA NA MFUMO WA AC COMPRESA IKIWAKA NA SILENT YA ENGINE INAONGEZEKA
HILO LIPO WAZI KABISA NIKAMA KUWASHA DATA KATIKA SIMU BETTRY LAZMA IWAHI KUISHA CHAJ KUTOKANA NA APP NYINGI KUFANYA KAZI(background)
HII NI SAWA NA MTU ANAKUULIZA NKIWASHA PASI NYUMBANI JE LUKU ITAWAHI KUISHA???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…