gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 410
Una maana gani unaposema cooling na unasema unakanyaga mafuta zaidi!!! Kwani AC haifanyi kazi ukiwa umesimama???
unauliza au?ahaaa kwa hiyo hata gari likiwa halina fuel unaweza ukatumia AC?? so Ac haina uhusiano na mafuta wala engine?
Depends na situations. On highway AC is better.City drive Windows down is better. Better zaidi ni Windows Up na AC Off.Mzunguko wa Mtambo wa AC unategemea mzunguko wa engine! GARI ikishawaka tu hata kama haitembei engine huzunguka, na gari hata aitembei mafuta huwa yanatembea kwa kiasi kidogo, linapoenda work load ya engine inakuwa kubwa then kwa sababu ya mwendo and at the same time ac kuwaka, inaongeza ulaji wa mafuta
Depends na situations. On highway AC is better.City drive Windows down is better. Better zaidi ni Windows Up na AC Off.
Kwa sababu betri inachajiwa kwa injini ya gari kuwa inafanya kazi, hivyo kuipa mzigo injini na hiyo kupelekea hilo ongezeko kiasi la matumizi ya mafuta.Mbona huongeza consumption ya mafuta
Siyo mjuzi sana, lkn naona ac inaongeza matumizi ya mafuta, nina cresta E GX100 vvti
Jamaa atakuwa na baiskel sijaona kosa lako huwez kujibu hili swali kama huna gar au fundi wa garNimejibu swali na nimetoa uzoefu, ttzo nini? hilo ni dhambi kusema nina gari.
ndio naulizaunauliza au?