Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Kipi hicho ndugu yangu,naomba unijuzeAlifanya kila walichofanya Wayahudi wenzake...
Kwa nini ndugu yangu?nilichouliza kina ubaya🙄🙄uchokozi tuuu.
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Mkuu, bila shaka ulikwisha pata habari fulani-fulani au Fununu ya kile kilichojiri kwa watu hao nyakati zao. Hebu kwanza tuambie unachokijua ili tujue tuanzie wapi kukujibu.Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Mkuu, bila shaka ulikwisha pata habari fulani-fulani au Fununu ya kile kilichojiri kwa watu hao nyakati zao. Hebu kwanza tuambie
Hili swali limenifikirisha sana nataka kujua siku atakapoludi,ataludi katika stairi ipi?amevaa suti kama wachungaji wanavyomuhubiri au amevaa kanzu kama MasheheeMkuu, bila shaka ulikwisha pata habari fulani-fulani au Fununu ya kile kilichojiri kwa watu hao nyakati zao. Hebu kwanza tuambie unachokijua ili tujue tuanzie wapi kukujibu.
Ingekuwa ni vyema ukazingatia na kujikita katika hoja hapo juu👆 kwanza ili tuweze kuendelea na wewe katika mjadala huu. "Usipotezee" swali lako la msingi kwenye uzi wako. Ni hoja nzuri umeleta ila sasa naona unaanza Kuhoyanga tena.Hili swali limenifikirisha sana nataka kujua siku atakapoludi,ataludi katika stairi ipi?amevaa suti kama wachungaji wanavyomuhubiri au amevaa kanzu kama Mashehee
Mkuu nimeona kitu kwako katika kuutafuta ukweli kua ipi ni dini sahihi?Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Mkuu; Kwa nini unanikaribisha PM? Si tuzungumze hadharani?Mkuu nimeona kitu kwako katika kuutafuta ukweli kua ipi ni dini sahihi?
Karibu PM ujifunze
Alifanya kwa vile wayahudi wenzake walivyokuwa wanafanya kwa mujibu wa mila na desturi zaoKipi hicho ndugu yangu,naomba unijuze