Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Hili swali limenifikirisha sana nataka kujua siku atakapoludi,ataludi katika stairi ipi?amevaa suti kama wachungaji wanavyomuhubiri au amevaa kanzu kama Mashehee
Wachungaji gani wanahubiri Yesu atarudi kavaa suti.
Shaikh gani anamhubiri Yesu? Anamhubiri toka kitabu kipi? Maana Yesu hayupo kwenye Quran ima hadith!
 
Ukristo ni imani inayfundisha kumpenda Jirani na adui. Yesu hapiganiwi, Yeye ni Mfalme wa wafalme na Mungu wa miungu yote. Hahitaji msaada wa mwanadamu katika maamuzi au vita zake. Yeye ndiye hutupigania.

Ametufundisha kumpenda mwovu kabisa kwa sababu ana uwezo wa kumbadilisha kuwa mtu mwema. Ametufundisha kuwapenda watu wote na kuwaeleza namna anawapenda watu na kile aliwafanyia msalabani ili wafikapo mwisho wa maisha yao, wakafurahie maisha pamoja naye. Ukristo ni imani inayoshinda kifo badala ya kukitukuza. Kifo kwenye ukristo ni adui na hana nguvu juu ya wakristo.

Ukiwa karibu na mkristo radical, anafuata Biblia do-to-dot, uko salama kupita maelezo!
So cool down and enjoy the life God have given you!
 
Shida ilikuja kuanzia hapa.
Screenshot_2022-02-12-12-55-08-887_com.instagram.android~2.jpg
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Ukitukanwa utakuwa mkali?Sasa unataka kujua kama Yesu alivaa kanzu au suruali,unataka akuoe?
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Maswala ya dini magumu sana kaka, we endelea kuamini unavyoamini wewe na waache wengine wasioamini unavyoamini wewe basi waamini wanavyoamini wao.

Hizi dini tumeletewa tu, mambo yalitokea miaka zaidi ya 2000 iliyopita usitegemee utayapata Kwa uhalisia wake 100%. Mtu tu aliezaliwa 1800 huko huwezi kupata taarifa zake Kwa 100%, ndo itakua miaka 2000 iliyopita?

Mtume Muhammad (SAW) aliwaambia Lakum Diyn Kum Waliya Diyn.
 
Umejubu kwa hekima sana. Tuache ushabiki usio kua na maana.
 
Yes alifanya yote wanayofanya wavaa makobazi wa sasa na alikuwa na kikundi chake cha kigaidi chenye wafuasi 12 wakieneza chuki na vitendo vya kigaidi mjini Yerusalemu na Kapenaumu. Na mwisho alinijitoa muhanga pale msalabani kama wanavyojitoa muhanga wavaa makobazi wa leo

Vipi umeridhika au?
Nini maana ya ugaidi
 
Depends na kanzu gani....hata wakristo kwenye ibada zao huvaa kanzu
Kanzu ni kazu tu tu ndugu yangu. Wakristo hatujapangiwa vazi la kuvaa. Amri iliyopo ni kuvaa kwa staha, mavazi yatakayoleta utukufu kwa Mungu na si mavazi ya aibu. Ndio maana Maasai na shuka lake, Mwarabu na kanzu yake, Mfaransa na suti yake na Mbarabaig na Kaniki yake hawana tofauti kanisani. Alimradi ni nguo ya heshima, mkristo habanwi, iwe ni Kanzu, suti au hata vazi la asili!
 
Ndiyo Yesu alitawadha, alisujudu na alivaa kanzu, aliketi kitako na kupiga magoti wakati wa kumuomba Mungu.

Sasa tuambie ulitaka kujua hayo ili iweje?
Nasi tuna maswali baada ya kusikia majibu yako.
 
Mkuu; Kwa nini unanikaribisha PM? Si tuzungumze hadharani?
Ulioyaongea yote ni ya kweli
mmasai anafanana mpk kimavazi na mmasai mwenzake
sasa utajua ni nani anomfuata yesu haswaa

jibu unalo mwenyewe
 
Back
Top Bottom