Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Ebu tuelezee apo huo upumbavu ni upi? hlf nitakujibu
Fungua mada nitakueleza huko!
Ujumbe wa wafuasi wa Yesu najua umekufikia barabara kwa mifano halisi. Unatafuta pa kutokea. Wala usijisumbue kufanya spinning.
Kila mwenye akili njema wa dini na kabila lolote kaelewa vizuri tu.

Uwe na siku njema!
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Ni utoto tuu, ukikua utaacha
 
Kwanini iwe kukuchosha ndugu yangu,maana wanasema yesu atarudi?atarudia kwenye inchi yake ya kiyahudi?atasali wapi,atavaa suti au kansu?itakuwaje kwa wale wanaomsubiri?

Halafu ukijua itakusaidia nini? Wewe siyo Mkristo! Sasa mambo ya Yesu yanakuhusu nini? Si unatafuta tu chokochoko na kuingilia imani za watu wewe!

Yaani ni sawa na mimi nianze kuhoji/kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu kuhusu Mtume Muhammad S.A.W!! Zitakuwa ni chokochoko za kiimani bila shaka. Maana hanihusu kwa lolote lile.

Hivyo jitahidi kuanzisha mada zenye mashiko, badala ya hizi za kitoto.
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Mbona hujasema kama alitumia mitandao ya kijamii kama tunavyotumia wafuasi wake. Je alitumia smartphone au hakutumia? Alipanda daladala kama tunavyopanda? Kama hakufanya hivyo basi sisi wafuasi wake tunakosea sana...au sio mkuu?
 
Fungua mada nitakueleza huko!
Ujumbe wa wafuasi wa Yesu najua umekufikia barabara kwa mifano halisi. Unatafuta pa kutokea. Wala usijisumbue kufanya spinning.
Kila mwenye akili njema wa dini na kabila lolote kaelewa vizuri tu.

Uwe na siku njema!
Nilijua tu huwezi kujibu
 
Mbona siku hizi waislamu nao WANAMFUATA / NIWAFUASI WA YESU ! ! kila kukicha wanashinda kuisoma BIBLIA kuliko hata Quruan yao ? ?

Tena waislam in future watakua wakristu bora sana kwa mujibu ya BIBLIA kwa maana ya bidii ya kuisoma na kuyatekeleza ipasavyo
 
Hili swali limenifikirisha sana nataka kujua siku atakapoludi,ataludi katika stairi ipi?amevaa suti kama wachungaji wanavyomuhubiri au amevaa kanzu kama Mashehee
Unafikiri makanzu au suti zitakupeleka peponi? Nadhani swali lako ni la kipuuzi kabisa halina msaada wowote katika safari yako kwenda peponi! Unapoteza muda wako ni heri ujikite kwenye kutenda mema!
 
Nilijua tu huwezi kujibu
Nina akili timamu ati! Swali lilikuwa wafuasi wa Yesu ni akina nani. Nimekupa mistari ya alichosema Yesu na waliokifuata. Unaanza kuleta spins kama ilivyo ada.

Nimazikataa hizo spins. Jibu limeeleweka..!!
 
Nami nikuulize, mudi alibaka watoto au hakubaka?
Sijajua swali lako linahusu nini?lakini kama lengo lako lilikuwa ni kuuliza kwa nini Mtume Muhamad (S.A.W)alimuoa bi aisha akiwa na miaka sita huko Macca akaenda kumjua Madinina akiwa na miaka 9
Unafikiri makanzu au suti zitakupeleka peponi? Nadhani swali lako ni la kipuuzi kabisa halina msaada wowote katika safari yako kwenda peponi! Unapoteza muda wako ni

Unafikiri makanzu au suti zitakupeleka peponi? Nadhani swali lako ni la kipuuzi kabisa halina msaada wowote katika safari yako kwenda peponi! Unapoteza muda wako ni heri ujikite kwenye kutenda mema!
Inawezekana wewe ndiye unayeliona la kipuuzi lakini lina ukweli mzito ndani yake,chukulia mfano unaambiwa Yesu yuko Uwanja wa Taifa,katika kufikili kwako kabla hujaenda kumuona,utafikiria utamkuta katika hari gani?kavaa kanzu anaswali au utamkuta kavaa suti anahubiri kwa sauti?hilo ndiyo jibu ninalolitaka,sababu dini zote zinahubiri Yesu ataludi
 
Kwanza mimi sio mkatoliki so siwezi kuwa msemaji wa wakatoliki. Na huo mchoro haujautoa kwenye Biblia. So sielewi unachojaribu kusema.
Hebu kuwa wazi tatizo lako ni nini?

Kama ni Mungu mkuu, hilo halina shaka. Yesu ni Mungu mkuu, na siku yaja kila mtu, bahati mbaya kwako, utakuwemo, kuwa Yesu ni Bwana!

Wafilipi 2:
"5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; 6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; 7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; 8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. 9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; 10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba."
Bible Verses That Indicate Jesus Is Not God The Creator

1. Matthew 24:36

No one knows about that day or hour, not even the Son, but the Father only.
Here Jesus makes a distinction between what he knows and what the Father knows.

2. Matthew 26:39
My Father, if it is possible, may this cup be taken from me, yet not as I will, but as Thou will.
Jesus’ will is likewise autonomous from God’s Will. Jesus is seeking acquiescence to God’s will.

3. John 5:26
For as the Father has life in Himself, so he has granted the Son to have life in himself.
Jesus received his life from God. God received his life from no one. He is eternally self-existent.

4. John 5:30
By myself, I can do nothing: I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who has sent me.
Jesus says, “by myself, I can do nothing.” This indicates that Jesus is relying upon his own relationship with God. He is not trying to “please myself” but rather is seeking to “please the one who sent me.”

5. John 5:19
The Son can do nothing by himself; he can do only what he sees the Father doing, because whatever the Father does, the Son does also.
Jesus declares that he is following a pattern laid down by God. He is expressing obedience to God.

6. Mark 10:18
Why do you call me good? No one is good, except God alone.
Here Jesus emphatically makes a distinction between himself and God.

7. John 14:28
The Father is greater than I.
This is another strong statement that makes a distinction between Jesus and God.

8. Matthew 6:9
Our Father, which art in Heaven.
He didn’t pray, Our Father, which art standing right here!”

9. Matthew 27:46
My God, My God, why hast thou forsaken me?
Inconceivable if he is God the Creator.

10. John 17:21-23
. . .that all of them may be one, Father, just as you are in me and I am in you. May they also be in us so that the world may believe that you have sent me. . ..that they may be one as we are one: I in them and you in me.
In this prayer Jesus defines the term “to be one.” It is clearly accomplished through the relationship of two autonomous beings. Christian believers are to model their relationship (to become one) after the relationship of God and Christ (as God and Christ are one). Notice that “to be one” does not mean to be “one and the same.”

11. 1 Corinthians 15:27-28
For he "has put everything under his feet." Now when it says that "everything" has been put under him, it is clear that this does not include God himself, who put everything under Christ. When he has done this, then the Son himself will be made subject to him who put everything under him, so that God may be all in all.
Paul declares that God put everything under Christ, except God himself. Instead God rules all things through Christ. (remember: “through him all things were made.”)

12. Hebrews 1:3
The Son is the radiance of God’s glory and the exact representation of his being.
Jesus is the exact representation of his being. I send my representative to Congress. He is not me, myself. He is my representative.

13. Hebrews 4:15 (compared with James 1:13)
For we do not have a high priest who is unable to sympathize with our weaknesses, but we have one who has been tempted in every way, just as we are—yet without sin.
Jesus has been tempted in every way, just as we are, yet he never sinned. See

James 1:13: When tempted, no one should say, God is tempting me. For God cannot be tempted by evil, nor does he tempt.
Jesus was tempted in every way, but God cannot be tempted. This is why Jesus said, “don’t call me good, none are good, only God.”

14. Hebrews 5:7-9
During the days of Jesus' life on earth, he offered up prayers and petitions with loud cries and tears to the one who could save him from death, and he was heard because of his reverent submission. Although he was a son, he learned obedience from what he suffered and, once made perfect, he became the source of eternal salvation for all who obey him
Jesus had to walk a course of faith and obedience in order to achieve perfection. By achieving perfection, Jesus “became” the source of eternal salvation
 
Kigugumiza kwani Yesu anahusianaje na uislam? Naona uki interested ila mtu ambaye hakutajwa na Quran au hadithi na hata Sira, unahangaika naye wa nini?
 
Badala ya kueleza tatizo unaloliona unanukuu vifungu vya Biblia (actually imefanya copy paste na mtu anayejua kufanya simple search anajua umenakili wapi)

Sasa achana na mambo ya copy paste. Andika kwa maneno yako mwenyewe una tatizo gani na Uungunwa Yesu, wewe kama wewe?
 
Inavyoonekana wewe sio muamini kabisa wa dini ya kikristo, ni heri ukatuachia dini yetu maana waabuduo halisi humwamini bwana kwa roho na kweli Wala hawana maswali ya uhayawani kama yako.
Anzisha thread nyingine ya wahindi wanaomwabudu ng'ombe kama mungu wao na utuachie Kristo Yesu wetu.
 
Kwa akili yako unafikiri teknolojia ya mavazi ya kushona Suruali ilikuwepo kipindi cha Yesu?

Dini huchukua mambo katika Utamaduni Kwa sababu dini ni sehemu ya Utamaduni.

Kuswali kuna Kwa Aina nyingi kama ifuatavyo;
1. Kuswali umekaa
2. Kuswali umelala kifudifudi
3. Kuswali umesimama
4. Kuswali umesujudu n.k

Sasa inategemeana unaswali Kwa madhumuni gani.

Kuimba ni program tuu Kama sehemu ya Ibada, kuabudu, kumtukuza, na kumsifu Mungu Kwa kutumia sauti nzuri na ala za Muziki.
Hata kwenye dini za Asili kun nyimbo za matambiko.

Wanawake kuvaa na kujitanda inategemeana na Utamaduni wa mahali husika,

Halikadhalika katika kutawadha, inategemeana unaswali wapi,
Huwezi linganisha mazingira ya zamani na ya sasa.
Ina maana Mungu huwa anawabadilishia watu wake stairi za kuswali kutoka mitume waliotangulia mpaka kizazi cha sasa hivi?ingawa Uisilamu haujawa kubadili stairi zake wanaswali kama alivyoswali Adam na vizazi vyake
 
Back
Top Bottom