Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Mbona siku hizi waislamu nao WANAMFUATA / NIWAFUASI WA YESU ! ! kila kukicha wanashinda kuisoma BIBLIA kuliko hata Quruan yao ? ?

Tena waislam in future watakua wakristu bora sana kwa mujibu ya BIBLIA kwa maana ya bidii ya kuisoma na kuyatekeleza ipasavyo
Kwani Biblia si kitabu cha Mwenyezi Mungu,Waisilamu hawabagui vitabu vya Mwenyezi Mungu alivyoviteremsha na Manabii wao,Daudi zaburi,Mussa Torati,Yesu Enjili,Mtume Muhamada(S.A.W)Quruani.kuna ubaya gani hapo,sasa wewe mwingine usiyejua Quruani lazima Elimu yako itakuwa ndogo
 
Mpumbavu tuu mmoja udini na ushamba unakusumbua, haya mambo uliletewa na waarabu na wewe unajiona mjanja wakati babu yako alisujudu chini ya mkuyu, kuvaa kanzu na kuvaa suti ni tamaduni za hao waliokuletea injiri kama ni mavazi ata wamasai nao wanayo ya kwao.
 
Hukuona kwenye Quruani amezungumziwa Issa bin Marimu?
Isa ibn Maryam ibn Imran sio Yesu

Mariam mwana wa Imrani (dada wa Musa na Haruni) ndio mama wa Isa.
Mariam mwana wa Heli ndio Mama wa Yesu

Kulingana na Biblia, Musa, Haruni na dada yao Mariam waliishi zaidi ya miaka 900 kabla ya kuzaliwa Marimu wa Heli na baadaye Yesu!

Yesu alizaliwa mjini kwenye hori la ng'ombe
Isa alizaliwa jangwani chini ya mtende

Yesu alikua kama mtoto mwingine Yeyote mpaka alipofikisha miaka 12
Isa alizaliwa anaongea

Yesu alizaliwa, na kufa. Historia inarekodi kifo chake zama za Tiberius mfalme and Pilato akiwa Gavana wa Yudea. Waandishi wa historia na wa Kikristo wanakubaliana kuwa Yesu, aliyezaliwa Nazareth, alikufa kwa kuteswa msalabani, kwa amri ya Pilato. Well established fact.

Isa hakufa, bali Allah aliwazuga kuona wamemwua.

Mpaka hapo kama bado unadhani Isa na Yesu ni mtu yuleyule basi una tatizo!
 
Pole sana ndugu yangu,inamaana wewe na Maraika wa Mungu Jibril kiunganishi cha Mwenyezi Mungu na Mitume wake nani mkweli? Binadamu wanaangamia kwa kukosa Maalifa
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
We unadhani aina ya kumuomba MUNGU inatazama mahala uliookaa? MUNGU anasikia mahala popote ulipo na namna yotote uliyo kaaa au kulala, MUNGU hana shida na mambo madogo madogo kama kukaa na kugeukia wapi sijui huo ni usanii tu, swala la mavazi nalo si tija isipokua ktk mavazi ya aibu hasa wanawake ndiyo naweza kusema yamkini wakamchukiza MUNGU,lakini nikisali nimepiga sijui Kanzu, suti, suruali na shati ni fresh tu haina lolote baya, msiwe mnakubali tu kila mlicho ambiwa na Mwarabu/Mzungu.

Dini zimekuja Afrika juzi tu sasa mnajifanya mnajua kila kitu
 
Mpumbavu tuu mmoja udini na ushamba unakusumbua, haya mambo uliletewa na waarabu na wewe unajiona mjanja wakati babu yako alisujudu chini ya mkuyu, kuvaa kanzu na kuvaa suti ni tamaduni za hao waliokuletea injiri kama ni mavazi ata wamasai nao wanayo ya kwao.
Pole sana Mungu akupe Elimu,unamjua mtume gani wa Mwenyezi Mungu hata mmoja tu ambaye hakuvaa kanzu?
 
ajabu ni kwamba hizi hoja kuna mtu zimemfanya awe muislam kinda kinda na yupo tayari kuzifia akiamini ana hoja zinto.
Wakati fulan uko nyuma nikapata Msala nikatupwa Gwanta siku 14.
ndani ya Sero yetu kulikuwa na sehem ndogo kwa ajili ya ibada ya waislamu nikawa najumuika kama kawaida.
katika kundi ilo la waumini ndani ya sero yetu nikafahamiana na kijana mmoja mwenye mkazo wa imani mbali na kuwa ni mtu pekee aliyekuwa ana hakikisha maji ya kushikia hudhu hayakosekani alikuwa ni mtoa Adhana.
baadae nikagundua anaitwa Charles, na ameslimu miezi kadhaa uko nyuma.
siku moja sikumbuki nini kilituingiza katika mjadala wa uislamu na ukristo.
akaniambia:, kilichofanya nislim mbali na sababu zingine zote ni pale kila nikifungua Biblia kuisoma na kutana na Neno Wagidion WAFANYABIASHARA .anaendelea kusema:, nilikuwa najiuliza, kwanini neno la Mungu lifanyiwe biashara?.
Inamaana hawa Wagidion wamekoswa biashara ya kufanya hadi wafanye biashara ya neno la Mungu!! toka hapo nikajua ukristo na biblia kwa ujumla ni utapeli, nikaamua kuslimu.

kwake Charles concept ya TRINITY haikuwa shida , swala la Yesu kuvaa ama kutovaa kanzu, kusujudu etc vyote hivyo kwake si hoja, hoja kwake ni WAGIDION wafanyabiashara😂😂.

nilimuangalia kwa sekunde kadhaa kwa umakini nikagundua upungufu wa maarifa ndiyo umemtoa katika imani yake ya hawali si wa Gideon, angelijaribu kutafuta maarifa jina wagidion lisingempa shida.
Watu wangu wanaangamia kwa kukoswa MAARIFA*.
kuna makumi out there wanaslimu kwa hoja kama hizi.
Hoja za kuwafanya waslimu ni hizi hizi kama za mleta Mada , kwakuwa hawana maarifa uwaona wahubiri wa hoja hizi kama watu watafiti na makini kumbe ni chenga tupu.
Nenda kwenye Mikutano ya kiislam utacheka ujikojolee
 
Shida ilikuja kuanzia hapa.
View attachment 2166044
Mkuu hapo unachoshindwa kuelewa ni nini? Kwahiyo mnaona hiyo ndiyo hoja ya kupinga utatu wa Mungu?

Labda tufanye hivi ili uelewe kuhusu utatu wa Mungu! Chukulia mfano wa yai la kuku:

Yai lile unavyoliona ni moja lakini limegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni kiini, ute, ganda. Na kila kimoja kina form yake na kazi yake.

Pamoja na kwamba hivyo vyote ukiviweka kwa pamoja vinaitwa yai lakini kamwe kiini hakiwezi kuwa ute au ute hauwezi kuwa ganda

Kwa sababu vipo katika form tofauti lakini hiyo haibadilishi ukweli kwamba hivyo ni sehemu ya yai na vyote kwa pamoja vinaitwa yai
 
Pole sana ndugu yangu,inamaana wewe na Maraika wa Mungu Jibril kiunganishi cha Mwenyezi Mungu na Mitume wake nani mkweli? Binadamu wanaangamia kwa kukosa Maalifa
Ina maana ukiulizwa kama Kwame Nkhurumah ndiye Julius Nyerere utahitaji Jibril kiunganishi cha Allah na mtume wake?
Haya ni mambo yaliyotokea yakaandikwa. Unahitaji kushughulisha akili kidogo tu.

Acha uvivu, tumia akili ambayo Mungu alikupa. Mungu hufurahia pale wanadamu wanapotumia vipawa alivyowapa, akili na utashi ikiwa ni kipawa kimojawapo.

Anyway kuna Mahali Jibril alimtaja Yesu (iwe kwa Iesous, Yehoshua au Ya'sua)? Isa hata sio jina la kiarabu la Yesu!
 
Labda tufanye hivi ili uelewe kuhusu utatu wa Mungu! Chukulia mfano wa yai la kuku:
Ukiishatoa mfano tu umefeli.
Mungu hana mfano.
Hivyo vyote ulivyosema ni separable. God is inseparable na hana mfano wake.
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Akikaa juu ya benchi au kitako wewe mmatumbi inakusaidia nini? Yaani umefungua akaunti JF ili ulete swali kama hilo? Jitahidi unywe kitu cha mabibo na mapupu utakuja kunishukuru
 
We unadhani aina ya kumuomba MUNGU inatazama mahala uliookaa? MUNGU anasikia mahala popote ulipo na namna yotote uliyo kaaa au kulala, MUNGU hana shida na mambo madogo madogo kama kukaa na kugeukia wapi sijui huo ni usanii tu, swala la mavazi nalo si tija isipokua ktk mavazi ya aibu hasa wanawake ndiyo naweza kusema yamkini wakamchukiza MUNGU,lakini nikisali nimepiga sijui Kanzu, suti, suruali na shati ni fresh tu haina lolote baya, msiwe mnakubali tu kila mlicho ambiwa na Mwarabu/Mzungu.

Dini zimekuja Afrika juzi tu sasa mnajifanya mnajua kila kitu
Ngoja leo upewe elimu ya bure,Mungu amemfundisha mwanadamu kila kitu ila ni ukaidi tu wa Mwanadamu,Kuanzia inapotungwa mimba yako kuna Dua ya kusoma,Mtoto anapozaliwa inabidi asomewe adhana kwenye sikio lake la kulia na Ikama kwenye sikio lake la kushoto,Unapokula ule kwa mkono wa kulia,unapokaa chooni kuna stairi yake ya kukaa,unapolala usilalie upande uliyopo moyo kwa mda mrefu,unapotembea kwa Miguu kama unaende kulia pindi upande wa kushoto.Mengi sana ngoja niishie hapa
 
Akikaa juu ya benchi au kitako wewe mmatumbi inakusaidia nini? Yaani umefungua akaunti JF ili ulete swali kama hilo? Jitahidi unywe kitu cha mabibo na mapupu utakuja kunishukuru
Pole sana subiri upewe Elimu ya Mitume wako waliokutangulia sio upotoshwe na wasiokuwa na Dini
 
Ina maana ukiulizwa kama Kwame Nkhurumah ndiye Julius Nyerere utahitaji Jibril kiunganishi cha Allah na mtume wake?
Haya ni mambo yaliyotokea yakaandikwa. Unahitaji kushughulisha akili kidogo tu.

Acha uvivu, tumia akili ambayo Mungu alikupa. Mungu hufurahia pale wanadamu wanapotumia vipawa alivyowapa, akili na utashi ikiwa ni kipawa kimojawapo.

Anyway kuna Mahali Jibril alimtaja Yesu (iwe kwa Iesous, Yehoshua au Ya'sua)? Isa hata sio jina la kiarabu la Yesu!
Mambo ya Mungu yanaitaji Hekima sio akili,hao wenye akili wanasema hakuna Mungu
 
Pole sana ndugu yangu,inamaana wewe na Maraika wa Mungu Jibril kiunganishi cha Mwenyezi Mungu na Mitume wake nani mkweli? Binadamu wanaangamia kwa kukosa Maalifa
Kuna ushahidi wowote wa jibril kuongea na muhammad?

History ya Yesu ipo mpaka nje ya Biblia , historian wameandika alikuwepo

Ila ya Isa haipo popote zaidi ya muhammad kutuambia kaambiwa na jibril
 
Back
Top Bottom