Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Mimi ndiyo nakuona leo. Kama nimekuona sikukumbuki.

Pengine unajipa umuhimu kuliko ukweli wa mambo.
 
Joined 14 Oktoba 2006 na tayari unachukiwa? au una id zaidi ya hii nini na umechanganya madesa
 
Na wewe ndipo unakosea kuleta judgements kwa mtu usiye mjua?

Nimeuliza wanajukwaa kwasababu mimi najiona niko sawa...

Acha kuleta projection zako na judgements zenye mind games.

Toa sababu, sio kudhani sijifahamu
nahisi nimeanza kuelewa kwanini unasema wanakuchukia
 
Mbona mimi haya sjawahi kukutana na hata comment yako kiufupi ndio nakuona leo.
Au wewe ni famous?
 
Una matatizo meng tu mkuu
Kuandika nyuzi nying kwa sik

Kuwa na ID nyingi

kujipa umhimu kama wewe ndo maxmelo

kujitia mjuaji wa kila jambo

Na usilo lijua hakuna anaye kuchukia bali unapuuzwa na member weng kutokana na usumbufu jukwaani
 
Joined: Wednesday 7:19Pm
Three (3) days later umekuja na Uzi wa malalamiko ya kuto pendwa hii ina dhiirisha kua wewe sio mgeni humu na hii inathibitisha kua hii ni ID mpya umefungua bwana Chiwawa.
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    4 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…