Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Sijawahi kukuchukia zaidi huwa nikiingia naweza kukusearch kuangalia umepandisha uzi gani ili nione kituko kipya.
Hahaha aisee😎 Unajua je kuwa ni mimi?
 
Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.

Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?

Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.

Ni kwanini mnachukizwa hivi..

Naombeni kujizwa sababu za msingi.

Asanteni
Mjomba, kwa upande wangu ndiyo nimekufahamu leo. Amini ni watu wachache sana ndiyo wanaku ignore.
 
Back
Top Bottom