Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.

Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?

Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.

Ni kwanini mnachukizwa hivi..

Naombeni kujizwa sababu za msingi.

Asanteni
Humu wamejaa visilani ukiwaletea mada wasizozipenda wanakutukana!
 
Back
Top Bottom