Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Magufuli kulikuwa na sababu nyingi za msingi za kumchukia, na hakuwa mkweli. Ila alijua kuwachota wajinga wengi wasio na standards nzuri, ukiwamo wewe.

Watu kukuita majina mabaya ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu.

Na kukuita jina baya hakukufanyi uwe mbaya.

It's not what they call you, it's what you answer to.

Na inawezekana una makosa, pengine hata usiyoyajua. Mara nyingi watu huwa tuna "blindspots" kwenye mambo yetu wenyewe, hatuoni mapungufu yetu ambayo wenhine wanayaona.

Kwa mfano, kwenye uzi huu nimekuambia uache kulalamika bila kuonesha mfano unaothibitisha malalamiko yako.

Mpaka sasa, kwa nikivyoona mimi, hujatoa mfano, hujatoa link, hujatoa post kusema hapa nimechukiwa bila sababu.

Kuna watu wana kitu kinaitwa "persecution syndrome".

Mtu mwenye "persecution syndrome" yeye kila siku anaona anaonewa tu.

Sasa wewe unaposema unaonewa, unachukiwa, bilq ushahidi, tutajuaje unachukiwa kweli na huna "persecution syndrome" tu?
Sawa Mr Kiranga nimekuelewaa
 
SanArt

Tutajuaje unachukiwa kweli, na huna hii "persecution syndrome" tu ?

Question : What is persecution syndrome?

Answer (Meta AI)

Persecution syndrome is not one official diagnosis in the DSM-5 — it's a common term people use for what psychiatry calls persecutory delusions / persecutory ideation, sometimes called persecution complex.

It's the persistent belief that you are being targeted, harassed, conspired against, spied on, or intentionally harmed — even when there is no evidence for it, or evidence to the contrary.

What it looks like:

Core belief: "People are out to get me"

This can show up as:
  • Believing coworkers, neighbors, government, family are plotting against you
  • Thinking you are being followed, watched, bugged, or poisoned
  • Reading hidden threats into neutral comments — "he said good morning in a strange way, he's threatening me"
  • Feeling you are being deliberately excluded, cheated, or defamed
  • Being very guarded, not trusting anyone, keeping extensive "proof"

The person is often 100% convinced, so arguing with logic doesn't help and usually makes them feel even more persecuted.

Where it can appear:

1. Delusional Disorder, Persecutory Type — The main disorder where this is the central symptom. The person functions fairly normally outside that one belief.

2. Paranoid Personality Disorder — Lifelong pattern of distrust and seeing others' motives as malevolent. Not a psychosis, but a personality style.

3. Schizophrenia, paranoid type — Persecutory delusions plus other symptoms like hearing voices, disorganized thinking.

4. It can also be triggered by: severe stress, sleep deprivation, heavy cannabis or amphetamine use, some neurological conditions, depression with psychotic features.

Important distinction:

Everyone feels paranoid sometimes — after betrayal, under stress, in a dangerous environment. That is normal hypervigilance.

It becomes a clinical concern when:
  • It lasts weeks/months, not hours
  • There is no real evidence
  • It impairs work, relationships, safety
  • The person can't be reassured

If you are worried about yourself or someone close to you, it's worth talking to a primary care doctor, psychiatrist, or counselor soon. They can assess safety, rule out medical causes, and discuss options. If there is ever a risk of harm to self or others, or the person stops eating/sleeping due to fear, seek help right away — in the US you can call/text 988 for the Suicide and Crisis Lifeline, or go to your local emergency department.

If you want, describe what you are seeing in general terms and I can help you understand what kind of support might fit.
Mkuu, stop using AI trying to describe a human emotion, tutazidi kupumbaza watu tu..

Inshort hao kazi yao, ni kubrain wash watu waingie mkenge tu, ku lable mtu ni kumfanya awe victim wa kitu ambacho sio tatizo in the first place.

I've been there brother.. Ni ujuha tu, ukikubaliana na ujinga wa manipulations hizo utapotea, sijui disorder sijui nini, it's all just a mess
 
Umenielewa nini?

Hebu nielezee ulichoelewa na mimi nielewe umeelewa kweli, na si kwamba unafikiri tu umeeleewa, au hutaki kujibizana tu unataka kukatiza majibizano, umeelemewa badala ya kuelewa.
Nimekuelewa in terms of kwamba una point, ila jua kuwa it's way more deeper and includes a whole of great intuition na wisdom kuweza kunielewa.
 
Mkuu, stop using AI trying to describe a human emotion, tutazidi kupumbaza watu tu..

Inshort hao kazi yao, ni kubrain wash watu waingie mkenge tu, ku lable mtu ni kumfanya awe victim wa kitu ambacho sio tatizo in the first place.

I've been there brother.. Ni ujuha tu, ukikubaliana na ujinga wa manipulations hizo utapotea, sijui disorder sijui nini, it's all just a mess
Issue si AI.

Issue ni hicho kilichoandikwa.

AI ni tool tu, kama Google.

Sasa unaniambia nisitumie tool kwa sababu huoendi kikichoandikwa tu?

Vioi kama kina ukweli na hilo ndilo tatizo lako?

Huoni kuwa utakuwa umeingia mulemuke ilipoandijwa juwa watu wenye tatizo hiki huwa wabishi hawataki kuambiwa ukweli kwa mantiki yoyote?

Jibu lako linakupeleka huko.
 
Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.

Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?

Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.

Ni kwanini mnachukizwa hivi..

Naombeni kujizwa sababu za msingi.

Asanteni
Njoo nyumbani nakupenda sana
 
Back
Top Bottom