Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.

Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?

Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.

Ni kwanini mnachukizwa hivi..

Naombeni kujizwa sababu za msingi.

Asanteni
Unaguswa vp na chuki za fake IDs? Huoni we pia hujielewi?
 
Kwenye huu uzi wako ongezea na Moderators coz hata wao hawakupendi ndio maana wanakulima Ban kila leo,
Una multiple IDs mpaka zingine unazisahau na kuongea kama gana!

Dogo nilikushauri jinsi ya kuishi humu JF ukakomaza komwe,sasa hivi unatapa tapa hovyo kaka Kuku anayetaka kutaga.

You do not need universal approval or love from everyone,i told you before ''build a stable sense of self worth''
means your happiness does not depend on outside validation,ila ukakaza fuvu.
 
Na wewe ndipo unakosea kuleta judgements kwa mtu usiye mjua?

Nimeuliza wanajukwaa kwasababu mimi najiona niko sawa...

Acha kuleta projection zako na judgements zenye mind games.

Toa sababu, sio kudhani sijifahamu

Mimi hata kukujua nilikuwa sikujui japo nipo humu toka enzi na enzi, ila kwa comment hii kweli una matatizo na wanaokuchukia badala ya kukupuuza basi ni idiots
 
Kwenye huu uzi wako ongezea na Moderators coz hata wao hawakupendi ndio maana wanakulima Ban kila leo,
Una multiple IDs mpaka zingine unazisahau na kuongea kama gana!

Dogo nilikushauri jinsi ya kuishi humu JF ukakomaza komwe,sasa hivi unatapa tapa hovyo kaka Kuku anayetaka kutaga.

You do not need universal approval or love from everyone,i told you before ''build a stable sense of self worth''
means your happiness does not depend on outside validation,ila ukakaza fuvu.
Hakuna ushauri katika kuishi

Endapo aivunji sheria za wanajukwaa, na kuongea ukweli hata kama una umiza watu wengine.

Chuki ni defensive mechanism ya watu kutaka ku feel comfort na kukimbia ukweli Mchungu.

Mimi naona ni hulka za wamatumbi wengi, wao hawapendi tu kuambiwa ukweli
 
Mimi hata kukujua nilikuwa sikujui japo nipo humu toka enzi na enzi, ila kwa comment hii kweli una matatizo na wanaokuchukia badala ya kukupuuza basi ni idiots
Ni mtazamo wako
 
Hakuna ushauri katika kuishi

Endapo aivunji sheria za wanajukwaa, na kuongea ukweli hata kama una umiza watu wengine.

Chuki ni defensive mechanism ya watu kutaka ku feel comfort na kukimbia ukweli Mchungu.

Mimi naona ni hulka za wamatumbi wengi, wao hawapendi tu kuambiwa ukweli
Kama jibu unalo tayari,ulifungua huu uzi wa kazi gani?
 
Hawezi kuijua shida yake coz huwezi kutumia akili yenye shida ili kujua shida yako,
Tulimueleza shida yake toka kitambo ila haka katoto ni kajuaji,kabishi,kajinga na cha mwisho kabisa kana combination nzuri sana ya ujinga na confidence.
Moja kati ya ujinga ni kutosimamia kile anachosema na kwenda kinyume chake .

Aliaga anaondoka Jf hawezi kubaki humu haikuchukua muda akawa bado yupo .

Alisema aina flani ya nyuzi lakini ukija kuchunguza yeye ndio kinara wa hizo nyuzi .

Miongoni mwa sofa mbaya zaidi za mtu ni kutosimamia misimamo yako na kupenda kuongea bila kutekeleza yale unayoongea na kutaka watu wafanye
 
Sawa, hayo ni mawazo yako
 
Back
Top Bottom