Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Moja kati ya ujinga ni kutosimamia kile anachosema na kwenda kinyume chake .

Aliaga anaondoka Jf hawezi kubaki humu haikuchukua muda akawa bado yupo .

Alisema aina flani ya nyuzi lakini ukija kuchunguza yeye ndio kinara wa hizo nyuzi .

Miongoni mwa sofa mbaya zaidi za mtu ni kutosimamia misimamo yako na kupenda kuongea bila kutekeleza yale unayoongea na kutaka watu wafanye
Huyu mtoto hashauriki,ni kumuacha tu alivyo,
Nawapa pole sana wanaoishi nae,sio kazi rahisi kuishi na mtu wa aina hii,

Kauliza kwanini anachukiwa,watu wanampa sababu ambazo huenda ndio zinapelekea yeye kuchukiwa ila anaanza kubishana na wanaomshauri,

Yani hua anaanzisha uzi wa kuuliza jambo kisha anaanza kubishana na wanaotoa majibu!
 
Moja kati ya ujinga ni kutosimamia kile anachosema na kwenda kinyume chake .

Aliaga anaondoka Jf hawezi kubaki humu haikuchukua muda akawa bado yupo .

Alisema aina flani ya nyuzi lakini ukija kuchunguza yeye ndio kinara wa hizo nyuzi .

Miongoni mwa sofa mbaya zaidi za mtu ni kutosimamia misimamo yako na kupenda kuongea bila kutekeleza yale unayoongea na kutaka watu wafanye
Huyu ni schinzophrenic.
 
Wewe mtu una ukatili sana especially kwa wanawake...

Nakumbuka sijui thread gani, one of Johanas alikua amejibu ukamu attack kwa kumuuliza kama amepona kansa yake?! WTF hili ni swali la kumuuliza mtu in public?? Mtu unayejua ana fight cancer?....

Tatizo yanayoandikwa humu kama sio private yanasomwa na kila mtu, kama ni ubaya unaonekana na wote na kama ni nzuri inasomwa na wote...and I believe japokuwa tunaweza ku act na fake ID, I believe hatu deviate sana from our real personalities...especially kama the same behaviour pattern imekuwa observed na kila mtu/..different topics..

Wanaume wa humu wamekuona immature kwa kuwa defensive katika arguments zako ..siku zote una feel attacked na majibu yako yanaishia ku attack pia. Pia uko Arrogant unajihisi lazima u win kila hoja...and last Wanaume na wanawake wamekudharau kwa Tabia yako mbaya ya ku drag down wanawake.
 
Naomba uzi uishie hapa tafadhali,

Au nakosea ndugu wananchi?
 
Back
Top Bottom