Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Wewe mtu una ukatili sana especially kwa wanawake...

Nakumbuka sijui thread gani, one of Johanas alikua amejibu ukamu attack kwa kumuuliza kama amepona kansa yake?! WTF hili ni swali la kumuuliza mtu in public?? Mtu unayejua ana fight cancer?....

Tatizo yanayoandikwa humu kama sio private yanasomwa na kila mtu, kama ni ubaya unaonekana na wote na kama ni nzuri inasomwa na wote...and I believe japokuwa tunaweza ku act na fake ID, I believe hatu deviate sana from our real personalities...especially kama the same behaviour pattern imekuwa observed na kila mtu/..different topics..

Wanaume wa humu wamekuona immature kwa kuwa defensive katika arguments zako ..siku zote una feel attacked na majibu yako yanaishia ku attack pia. Pia uko Arrogant unajihisi lazima u win kila hoja...and last Wanaume na wanawake wamekudharau kwa Tabia yako mbaya ya ku drag down wanawake.
Nakumbuka vyema alimuuliza kikatili sana sio kupona , alitoa kauli hii "bado hujafa tu " hata ikiwa mtu haumwi kweli hakuna justification ya kumtamkia mtu maneno magumu kama hayo unjustly ..

Umemuelezea vyema sana ..
 
Kwani mimi kusoma energy za watu na kusema kinacho nisibu ndo iwe kuwa ni na matatizo?

I can sense the hate and negative energy from people, I can sense that they're afraid engaging with me due to the fact that I don't sugar coat experiences, whenever something is off, I say right away.

Watu hawapendi kuambiwa ukweli Mchungu, hawapendi kuambiwa madhaifu yao, na Ukisema wanaanza kukuzushia sijui wewe kichaa, sijui naumwa na vitu kama hivyo, ilihali wao ndo wako triggered kuona kuwa wanamakosa
Nimekuomba unipe mfano wa sehemu moja ulipochukiwa ili mimi na watu wengine tufanye uhakiki kuangalia kama kweli unachukiwa bila sababu, au ni wewe tu unajipa umuhimu, na pengine ku exhibit "persecution syndrome".

Lakini mpaka sasa hujatoa mfano hata mmoja.

Hujaweka link, hujatoa post.

Unalialia tu.
 
Wewe mtu una ukatili sana especially kwa wanawake...

Nakumbuka sijui thread gani, one of Johanas alikua amejibu ukamu attack kwa kumuuliza kama amepona kansa yake?! WTF hili ni swali la kumuuliza mtu in public?? Mtu unayejua ana fight cancer?....
Kwanza unanikosea sana kuongea kitu kibaya sana kama hicho...

You have no obligation kuingilia kati faragha yangu na muhusika haujui tumezoeana kiasi gani, acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu, uliza wahusika kwanza..
Tatizo yanayoandikwa humu kama sio private yanasomwa na kila mtu, kama ni ubaya unaonekana na wote na kama ni nzuri inasomwa na wote...and I believe japokuwa tunaweza ku act na fake ID, I believe hatu deviate sana from our real personalities...especially kama the same behaviour pattern imekuwa observed na kila mtu/..different topics..
Nilisha kwambia mara nyingi sana, acha kuongea vitu put of emotions, angalia ukweli ulio jificha ndani yake. Unataka tukubembeleze? Ubaya gani ambao ninao, mimi kazi yangu ni kuonesha ujinga ulio kithiri hasa kwa wanawake maana wame kuwa wakifanya mambo ya ajabu na kuanza kuwa manipulate wanaume kwa Ufuska wao wenyewe
Wanaume wa humu wamekuona immature kwa kuwa defensive katika arguments zako ..siku zote una feel attacked na majibu yako yanaishia ku attack pia. Pia uko Arrogant unajihisi lazima u win kila hoja...and last Wanaume na wanawake wamekudharau kwa Tabia yako mbaya ya ku drag down wanawake.
Mimi huwa naheshimika na wanaojielewa, maana wanajua huwa sinaga mba mba huwa sipaki mtu mafuta, huwa nasema ngumu Kumeza.

Na siku zote sema kweli ndiye huchukiwa.

Mnaita tabia mbaya alafu mnaishia kukimbia hoja na kuanza ku attack mtu binafsi?
 
Naomba uzi uishie hapa tafadhali,

Au nakosea ndugu wananchi?
Uishe kwa lipi?

Huyo Rebeca 83 ana nongwa binafsi na nilisha wahi kumwambia, aweke ego pembeni na aangalie ukweli maana, watu walio na ego hawawezi kukaa na kuona mambo kwa mapana
 
Nimekuomba unipe mfano wa sehemu moja ulipochukiwa ili mimi na watu wengine tufanye uhakiki kuangalia kama kweli unachukiwa bila sababu, au ni wewe tu unajipa umuhimu, na pengine ku exhibit "persecution syndrome".

Lakini mpaka sasa hujatoa mfano hata mmoja.

Hujaweka link, hujatoa post.

Unalialia tu.
Kuna nyuzi nyingi sana, kwa ID nyingine ambayo nieweza kuoneshawa hate Mchungu mzima,
 
Nakumbuka vyema alimuuliza kikatili sana sio kupona , alitoa kauli hii "bado hujafa tu " hata ikiwa mtu haumwi kweli hakuna justification ya kumtamkia mtu maneno magumu kama hayo unjustly ..

Umemuelezea vyema sana ..
Haikuwa serious mkuu, ni matani tu.
 
Uishe kwa lipi?

Huyo Rebeca 83 ana nongwa binafsi na nilisha wahi kumwambia, aweke ego pembeni na aangalie ukweli maana, watu walio na ego hawawezi kukaa na kuona mambo kwa mapana
Eti nina nongwa binafsi????!!! Wewe nakujua kwani???

Psychological mind games, so the problem is me not you now?!

.... ulishawahi kuniambia niweke ego pembeni ?! When was this ??! Leta post/topic kama sio unataka kufanya manipulations hapa....
 
Kwanza unanikosea sana kuongea kitu kibaya sana kama hicho...

You have no obligation kuingilia kati faragha yangu na muhusika haujui tumezoeana kiasi gani, acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu, uliza wahusika kwanza..

Nilisha kwambia mara nyingi sana, acha kuongea vitu put of emotions, angalia ukweli ulio jificha ndani yake. Unataka tukubembeleze? Ubaya gani ambao ninao, mimi kazi yangu ni kuonesha ujinga ulio kithiri hasa kwa wanawake maana wame kuwa wakifanya mambo ya ajabu na kuanza kuwa manipulate wanaume kwa Ufuska wao wenyewe

Mimi huwa naheshimika na wanaojielewa, maana wanajua huwa sinaga mba mba huwa sipaki mtu mafuta, huwa nasema ngumu Kumeza.

Na siku zote sema kweli ndiye huchukiwa.

Mnaita tabia mbaya alafu mnaishia kukimbia hoja na kuanza ku attack mtu binafsi?
Hii ni public forum unachoandika ni mali ya JF sio yako, so tuna haki kuku quote mashudu yako na kuongelea upumbavu wako uliouweka public! Ungetaka tusiingilie ungemtafuta private.

Una matatizo mengi wewe mtu moja ni kudogosha ujinga unaoufanya uonekane ni kawaida , ujinga huo una minimum impact/harmless. narcissistic behaviour.....

.... Usipoteze muda wako kufanya stupid manipulations, incase hujielewi mtu unayejua ana cancer humuulizi kama amepona IN PUBLIC. Au Wewe unaweza kuchukua microphone siku moja umuulize ndugu yako kwenye mkutano wa hadhara kama amepona kisonono chake????na watu wasikuingilie tu kwa vile ni ndugu???.....Second, tuliona context, siku hio kama mwendawazimu ulikua una attack tu..halafu tuseme kwa Joanne ilikuwa different na ni kwa vile mna uhusiano gani sijui??? Wewe sisi sio watoto!!

Eti kazi yako ni kuonyesha ujinga uliokithiri wa wanawake?! NANI kakupa kazi hii??? Jifanyie mwenyewe reality check out of millions of wanaume wanaotembelea JF why YOU? Why you EVERYTIME ndio uongelee huo udhaifu? ? Chuki una harbour mwenyewe iki manifest unaanza kulalamika. Ninahisi kuna wanaume wenzio kibao tu wasingepena kuona kuona huo ujinga wa wanawake unaouongelea kila siku!

Unaheshimika na wanaojielewa?! Nakupa nafasi boldly UMTAJE NANI?!...ungefeel respected , ungekuwa contend usingeleta mada hizi kila siku..

..tatizo lako ni PROJECTION, una attribute ujinga wako, traits na behaviour to watu wengine. Its them not me. We can't deal with yo insecurities/problems so find a THERAPIST. Wako kibao online.

Kisha usijihangaishe mimi na wewe nani kati yetu anajulikana mwenye ego??! ..una bahati hujulikani in real life, Chezea humo humo siku ukijulikana ndio utahama mazima JF! Kisha dawa yako ndogo tu, ni watu (wanawake ) kukujia na maparody tu. Wqnakutusi kiulaiiini.

Mwisho this is my last post to you, ujinga wako utashindwa kujua au kuelewa there are other people involved, with real life experiences and hisia. So nakuacha. Bye
 
Back
Top Bottom