Uliwafanyaje wanaselfika mpaka wakakutoa ndukiYaani nimefukuzwa kama kichaa..
Hakika nimeumia sana
SijaelewaMara ya pili hii unamuuliza anataka nini, hadesi anazunguka tu.
Kwani mimi kusoma energy za watu na kusema kinacho nisibu ndo iwe kuwa ni na matatizo?Issue si AI.
Issue ni hicho kilichoandikwa.
AI ni tool tu, kama Google.
Sasa unaniambia nisitumie tool kwa sababu huoendi kikichoandikwa tu?
Vioi kama kina ukweli na hilo ndilo tatizo lako?
Huoni kuwa utakuwa umeingia mulemuke ilipoandijwa juwa watu wenye tatizo hiki huwa wabishi hawataki kuambiwa ukweli kwa mantiki yoyote?
Jibu lako linakupeleka huko.
Acha kuwachokoza, silaha ya Kwanzaa ni kua peace na circle yako.Hawataki nijumuike nao, wanasema mimi ni mchokozi
Kwanini wawe na taswira mbaya juu yako na humu hatujuani?Sijachokoza mtu, labda wanataswira mbaya kunihusu
Hao watu wachache ambao maneno yao yanasilikizwa walikujulia wapi? Kwanini maneno yao yasikilizwe?Hata sielewi, huenda wa nasikiliza maneno tlya watu wachache, na kudhani mimi ni mtu mbaya