Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Kusema kuwa Sipendwi ni kujipa umuhimu?
Member wa JF wengine hata hatukujui.

Na hata kama kuna wanaokuchukia ni haki yao.

Hapa unachotakiwa kufanya ni kutetea hoja yako tu, mtu kukuchukia utatakaje asikuchukie wakati hiyo ni haki yake ya kikatiba na kibinadamu?

Pambana kwa hoja, acha kulialia unachukiwa wakati watu wengine ndiyo kwanza tunakuona kwenye uzi huu.
 
Kuchukia mtu bila sababu za msingi ni jambo la kustaajabisha

Na kingine, mimi sio mgeni humu

Watu hawapendi kuambiwa ukweli ndo maana wanaleta nongwa zao, idgaf
 
Kuchukia mtu bila sababu za msingi ni jambo la kustaajabisha

Na kingine, mimi sio mgeni humu

Watu hawapendi kuambiwa ukweli ndo maana wanaleta nongwa zao, idgaf
Wewe unaweza kuona bila sababu ya msingi lakini mwenzako akaona kuna sababu ya msingi.

Ndiyo maana nikasema tetea hoja, usipende kupendwa.

Chukua huo ushauri, usipende kupendwa. Simamia hoja.

Kama mtu kakuonea watu wataona kwa hoja. Kuna sheria, kuna uongozi.

Mpaka hapa sijaona mfano ulioutoa umechukiwa hapa na hapa bila sababu ya msingi.

Pia, wewe hutakiwi kuwa muamuzi wa kusema "hapa nimechukiwa bila sababu ya msingi" katika jambo lako mwenyewe, anatakiwa mtu asiyehusika aseme hilo. Wewe utavutia upande wako tu.

Naona unasema umechukiwa tu.

Yani hata kwenye habari ya kuchukiwa mpaka sasa huna hoja. Sijaona hoja. Naona una malalamiko tu.

Kiasi kwamba hatujui unasema kweli au una ulalamishi wa tabia tu.
 
Yeah 100%
 
Niki anzisha nyuzi wanakuja kuanza kuniita majina mabaya, na hasa huwa naongelea maswala ya muhimu.

Inshort ukiwa mkweli lazima uchukie, hata Magufuli alichukiwa kusema ukweli
 
Tunakuchukia kwasababu hatupendi usenge na unajiona keki kumbe andazi tu kama mandazi mengine
Sababu nyingine unahisi kama wewe ndiye mwenye akili sana au unajua vitu kuliko watu wote humu na unataka kuprove hivyo kwetu, hatuwezi kukukufurahia kwa tabia za namna hiyo
Sasa mtu kuongea ukweli amekuwa mjuaji?
 
Yeah 100%
Wewe unapaswa kupigwa ban kabisa, yaani unafanya mambo mabaya humu alafu modz wanakuangalia tu

Kwanza kuna siku ulipigwa ban, then ukajifungulia, je wewe ni mod?
 
Niki anzisha nyuzi wanakuja kuanza kuniita majina mabaya, na hasa huwa naongelea maswala ya muhimu.

Inshort ukiwa mkweli lazima uchukie, hata Magufuli alichukiwa kusema ukweli

Magufuli kulikuwa na sababu nyingi za msingi za kumchukia, na hakuwa mkweli. Ila alijua kuwachota wajinga wengi wasio na standards nzuri, ukiwamo wewe.

Watu kukuita majina mabaya ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu.

Na kukuita jina baya hakukufanyi uwe mbaya.

It's not what they call you, it's what you answer to.

Na inawezekana una makosa, pengine hata usiyoyajua. Mara nyingi watu huwa tuna "blindspots" kwenye mambo yetu wenyewe, hatuoni mapungufu yetu ambayo wenhine wanayaona.

Kwa mfano, kwenye uzi huu nimekuambia uache kulalamika bila kuonesha mfano unaothibitisha malalamiko yako.

Mpaka sasa, kwa nikivyoona mimi, hujatoa mfano, hujatoa link, hujatoa post kusema hapa nimechukiwa bila sababu.

Kuna watu wana kitu kinaitwa "persecution syndrome".

Mtu mwenye "persecution syndrome" yeye kila siku anaona anaonewa tu.

Sasa wewe unaposema unaonewa, unachukiwa, bilq ushahidi, tutajuaje unachukiwa kweli na huna "persecution syndrome" tu?
 
SanArt

Tutajuaje unachukiwa kweli, na huna hii "persecution syndrome" tu ?

Question : What is persecution syndrome?

Answer (Meta AI)

Persecution syndrome is not one official diagnosis in the DSM-5 — it's a common term people use for what psychiatry calls persecutory delusions / persecutory ideation, sometimes called persecution complex.

It's the persistent belief that you are being targeted, harassed, conspired against, spied on, or intentionally harmed — even when there is no evidence for it, or evidence to the contrary.

What it looks like:

Core belief: "People are out to get me"

This can show up as:
  • Believing coworkers, neighbors, government, family are plotting against you
  • Thinking you are being followed, watched, bugged, or poisoned
  • Reading hidden threats into neutral comments — "he said good morning in a strange way, he's threatening me"
  • Feeling you are being deliberately excluded, cheated, or defamed
  • Being very guarded, not trusting anyone, keeping extensive "proof"

The person is often 100% convinced, so arguing with logic doesn't help and usually makes them feel even more persecuted.

Where it can appear:

1. Delusional Disorder, Persecutory Type — The main disorder where this is the central symptom. The person functions fairly normally outside that one belief.

2. Paranoid Personality Disorder — Lifelong pattern of distrust and seeing others' motives as malevolent. Not a psychosis, but a personality style.

3. Schizophrenia, paranoid type — Persecutory delusions plus other symptoms like hearing voices, disorganized thinking.

4. It can also be triggered by: severe stress, sleep deprivation, heavy cannabis or amphetamine use, some neurological conditions, depression with psychotic features.

Important distinction:

Everyone feels paranoid sometimes — after betrayal, under stress, in a dangerous environment. That is normal hypervigilance.

It becomes a clinical concern when:
  • It lasts weeks/months, not hours
  • There is no real evidence
  • It impairs work, relationships, safety
  • The person can't be reassured

If you are worried about yourself or someone close to you, it's worth talking to a primary care doctor, psychiatrist, or counselor soon. They can assess safety, rule out medical causes, and discuss options. If there is ever a risk of harm to self or others, or the person stops eating/sleeping due to fear, seek help right away — in the US you can call/text 988 for the Suicide and Crisis Lifeline, or go to your local emergency department.

If you want, describe what you are seeing in general terms and I can help you understand what kind of support might fit.
 
Wewe unapaswa kupigwa ban kabisa, yaani unafanya mambo mabaya humu alafu modz wanakuangalia tu

Kwanza kuna siku ulipigwa ban, then ukajifungulia, je wewe ni mod?
Acha hizo ishi maisha yako bwashee
 
Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.

Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?

Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.

Ni kwanini mnachukizwa hivi..

Naombeni kujizwa sababu za msingi.

Asanteni
Jipende mwenyewe Mkuu inatosha sana , halafu Wana Jamiiforums wakikupenda kuna kitu kitaongezeka kwenye maisha yako ?

Be You, Love Yourself
 
Back
Top Bottom