Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ni kweli... ngono inafanya binadamu anakuwa dhaifu... overtime, ukilewa ngono maana yake wewe ni useless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, kama una pdf nisaidie[emoji120][emoji120]Ni kweli ngono inazeesha haraka sana hasa kama wewe ni mwanaume kasome kitabu kinaitwa , SEMEN RETENTION MIRACLES.
Ukosefu wa pesa ndio inayozeesha haraka. Usipokuwa na pesa unakuwa na mawazo mengi na wasi wasi tele vinavyokupelekea kupata maradhi h aya na yale. Ukiwa na pesa unakuwa na nafasi ya kujituliza kuchukua likizo za hapa na pale, kutoka na familia yako kwa matembezi na kupata chakula nje n.k. Kuishi kwa furaha ndio kunakochangia kutozeeka kimwili kirahisi.Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?
Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span?
Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka 26 na nimekuwa nikiendekeza ngono Basi mwili wangu naona hauna Nguvu Kama Mwanzo.
Na nikiwatazama classmates na agemate wangu niliokuwa nafanya nao umalaya wamezeeka wote yaani they are looking older than their real age.
Jambo nataka kujua maana Kuna dada ambao hawaendekezi ngono waliolewa Wana miaka 30 lakini wapo vizuri lakini Kuna wadada Mika 20 Kama wazee kimuonekano nazungumzia wale wanozagamuliwa Sana.
Majibu tafadhari.
Pia mzee wangu ni smart Sana tangu akiwa kijana na ana miaka 70+ sio mtu wa Wanawake anabeba madumu mawili ya Lita 20 ya maji bila shida na yupo vizuri hatumii miwani na meno anayo yote Hana mkwaju Wala Nini so kanambia ili nitoboe bila magonjwa nabidi kukaa mbali na ngono so this is real?
Yani Mkuu Osama wewe ni kusema dj awalete watu katiDJ walete kati[emoji125]
Kwani huu u Dr uliupata wapi mwenzetu?Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?