Naomba kuuliza, ngono inazeesha?

Naomba kuuliza, ngono inazeesha?

Ni kweli... ngono inafanya binadamu anakuwa dhaifu... overtime, ukilewa ngono maana yake wewe ni useless
 
Ukizingatia kanuni bora za afya km vile kura chakula bora,kufanya mazoez,kupata muda wa kupumzika vizuri utakuwa na afya bora zaidi.
Pia ktk sex jitahidi kuwa na mpenzi mmoja coz piga ua huwezi kufanya kupindukia.
 
Ngono ipi kuweni wazi basi.

Kuna wengine wanaganya ngono kila siku tena km dosage, lakini wanakua km watoto kila siku.

Kuweni wazi bas Ngono ipi mnazungumzia.
 
Kinachochakaza na kuzeesha speed ni ufukala na magonjwa ya muda mrefu ngono ni pleasure and leisure action.
 
Ngono mara kwa mara na watu tofauti tofauti ndo inazeesha na kufubaza.

Lakini na mtu mmoja ni afya.
 
Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?

Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span?

Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka 26 na nimekuwa nikiendekeza ngono Basi mwili wangu naona hauna Nguvu Kama Mwanzo.

Na nikiwatazama classmates na agemate wangu niliokuwa nafanya nao umalaya wamezeeka wote yaani they are looking older than their real age.

Jambo nataka kujua maana Kuna dada ambao hawaendekezi ngono waliolewa Wana miaka 30 lakini wapo vizuri lakini Kuna wadada Mika 20 Kama wazee kimuonekano nazungumzia wale wanozagamuliwa Sana.

Majibu tafadhari.

Pia mzee wangu ni smart Sana tangu akiwa kijana na ana miaka 70+ sio mtu wa Wanawake anabeba madumu mawili ya Lita 20 ya maji bila shida na yupo vizuri hatumii miwani na meno anayo yote Hana mkwaju Wala Nini so kanambia ili nitoboe bila magonjwa nabidi kukaa mbali na ngono so this is real?
Ukosefu wa pesa ndio inayozeesha haraka. Usipokuwa na pesa unakuwa na mawazo mengi na wasi wasi tele vinavyokupelekea kupata maradhi h aya na yale. Ukiwa na pesa unakuwa na nafasi ya kujituliza kuchukua likizo za hapa na pale, kutoka na familia yako kwa matembezi na kupata chakula nje n.k. Kuishi kwa furaha ndio kunakochangia kutozeeka kimwili kirahisi.
 
Malizia kwamba mzee wako anaweza kubeba madumu mawili we hata moja linakushinda kijana wa hovyo utakufa viby m....... Wewe nakuhurumia JOKES 😀😀😀 zagamua tu upendavyo kinachozeesha ni lyf style wala sio kungonoka pitia magumu kila muda ni mtu wa masikitiko uone kama hata ngozi yako itanawili jipende kwanza acha kuishi kizembe mtu una mindevu utadhan saloon kwenye viti wameweka miiba unaogopa kuchomwa
 
Ukiendekeza ngono kuchakaa ni sehemu ya package take, kwani ubongo unakuwa hauna afya ya kuwaza vitu vya msingi Ila ngono, kujihisi kunakuwa juu yako na unakuwa mtu waa maficho maficho, so ukipenda maisha punguza
 
Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?

Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span?

Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka 26 na nimekuwa nikiendekeza ngono Basi mwili wangu naona hauna Nguvu Kama Mwanzo.

Na nikiwatazama classmates na agemate wangu niliokuwa nafanya nao umalaya wamezeeka wote yaani they are looking older than their real age.

Jambo nataka kujua maana Kuna dada ambao hawaendekezi ngono waliolewa Wana miaka 30 lakini wapo vizuri lakini Kuna wadada Mika 20 Kama wazee kimuonekano nazungumzia wale wanozagamuliwa Sana.

Majibu tafadhari.

Pia mzee wangu ni smart Sana tangu akiwa kijana na ana miaka 70+ sio mtu wa Wanawake anabeba madumu mawili ya Lita 20 ya maji bila shida na yupo vizuri hatumii miwani na meno anayo yote Hana mkwaju Wala Nini so kanambia ili nitoboe bila magonjwa nabidi kukaa mbali na ngono so this is real?
Kwani huu u Dr uliupata wapi mwenzetu?
 
Back
Top Bottom