Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

Umesahau kuna wengine wanasemaga chai, wengine wanasemaga utoto raha. Hawa watu sijui kwanini wao hawaaminigi kila uzi humu jukwaani
 
Umeshavunja ungo!?

Simaanishi kuvunjwa ile kitu!... maana najua hauna!
 
Pole sana,
Naomba ajitokeze mwanaume ambaye amelala na mm
Mary humu andika mada/topic ya jambo fulani Jenga hoja. Humu wengi ni wasomi ndio maana panaitwa GT Great Thinkers. Wenye kufikiria sana, tena mbali kwa kina na kwa maslahi ya jamii.

Wkt mwingine utaandika jambo likafutwa usione andiko lako. Au ukafungiwa vilevile

Zaidi soma Sheria za JF
 
Mary humu andika madam ya jambo Fulani Jenga hoja. Humu wengi ninwasomi ndio maana panaitwa GT Great Thinkers. Wenye kufikiria sana, tena mbali kwamkina naaslahi ya jamii.

Zaidi soma Sheria za JF
Saw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…