Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

Unaweza soma hapo ukaelewa ingawa nimeijibu kwa mambo mengi tofauti na uliyouliza
 
Navy-Marine Corps
Ni foot soldiers wa marine ambao wanakudunda kuanzia majini mpaka nchi kavu.
Ndani ya US Navy ukiacha Marines kuna branch nyingine wanaitwa Navy SEALs

The United States Navy Sea, Air, and Land (SEAL) Teams

Hatari sana hawa makomando ndio waliomuua Osama, walimvamia kimafia sana kwenye compound yake pale Pakistan
 
kila mtu ana hobi yake kama unapenda issue za siasa kapambane nazo mwenyewe, mm kwanza bandari siijui wala sijawahi kuiona achana na mm.
Acha kuwa mjinga, siasa ni mfumo wa maisha unamuathiri kila binadamu aidha kwa kupenda au kutopenda, kujifanya kwamba siasa hazikuhusu ni kutojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…