My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
- Thread starter
-
- #41
Tuache wakatoliki kwanza,hiki kibanda nimewajengea wasabato kwa leo,tuish nao kwny huu utaratibu wao wa kugomea pesa jumamosiWasabato, wakatoliki na waislam wanaabudu wasichokijua
We jamaa me sikuwaamsha mzeeJAPO MIMI SIO MSABATO ILA TAFUTA HELA ACHA KULIALIA NA KUAMSHA WATU ASUBUHI ASUBUHI
Ndo mana yake,sasa kagomea pesa yangu kisa imani yakeSasa kama hauzi kwa sababu ya kiimani basi ngekupa tu kama sadaka
Hapa home maji yapo muda wote sema father house kachimba kisima kirefu mpaka kagusa rock ya chumvi, ko yanakua na chumvi chumvi dzain, so yanakua niyakuoshea vyombo na kuogea, ila kwa jiran huwa nafata ya kupikia, yakunywa nanunua mzee
Magomvi mi kazi ya Shetani Mungu hausiki
Mungu Sio dikteta thus kampa mwanadamu freewill ya kuchagua mema na mabayaKiumbe ambacho anadai kwa stori zake kakiumba yeye ina maana alifahamu Hili.
Mungu ni stori za kale zilizotumika kutishia watoto wakalale usiku.
Huo sio ushauli kwani yeye amesema hatafuti Hela,? hakuenda kuomba alienda Kununua msabato ndo mwenye shida angempa maji bureJAPO MIMI SIO MSABATO ILA TAFUTA HELA ACHA KULIALIA NA KUAMSHA WATU ASUBUHI ASUBUHI
Naungana waslamu ndo kabsa yaan ovyoooBora hao wengine wanajitambua ila hao wajukuu wa mudi ndio hovyo zaidi.
Kwa kweli japo sikubaliani na kanisa katoliki kwa baadhi ya mambo lakini huwa nawashangaa sana wasio wakatoliki kulibeza kanisa katoliki wakati ndilo lililokusanya maandiko kadhaa na kutengeneza CANNON OF SCRIPTURES ambayo tunaiita Biblia. Bila kanisa katoliki hapangekuwa na biblia kama tuliyo nayo leo. Ajabu watu hawajui hata historia ya ukristo mtu anashika biblia mkononi na kumtukana aliyeiasisi. Huu ni ujinga usioelezeka!!Wewe ni dhehebu gani? Biblia waandike wakatoliki halafu wewe ndio ujifanye unaijuwa kuliko waandishi wenyewe?
Insanity.
HUwez amini yaan kanikuta lilipo bomba ye anakua kwa ndan mnaongea kwny tundu la ukuta, asee kanambia hawauzi kisa leo sabato, yan ishu kama maji ambayo unajua umuhimu wake ila dini yako ya mapokeo inakukataza kuuza maji kwa jirani yakoKwahiyo kakaza hajakupa just maji? Hii ni mpya!
Hii dini ina kiu ya damu ya watu na wanyama.Dini ya haki na yenye utaratibu wa jinsi ya kuishi ni ISLAM pekee nyingine zote ni utapel
Imani ni ujinga ujinga fulani.Wewe ni dhehebu gani? Biblia waandike wakatoliki halafu wewe ndio ujifanye unaijuwa kuliko waandishi wenyewe?
Insanity.
Hayo maji baki nayo tu mkuuPole sana kijana nunua Pilton na maji makubwa ya dasani ushushie kisha njoo kimara baruti na dumu zako za maji nitakupatia bure hata lita 1000 bila malipo
Suala lankuabudu sanamu ni suala la mtu binafsi si la kanisa katoliki. Ukiwa na veneration ya kitu chochote kupitiliza ni kukiabudu pia. Nashangaa mtu anaongea habari ya sanamu wakati biblia anayosoma nayo yote ni SANAMU ZA SAUTI. Naona kuna watu wanadhani sanamu ni mpaka ichongwe kwa mti au kufinyangwa kwa udongo!!Ni lile linaloabudu sanamu ya Maria badala ya Mungu
Afu sijui umejuaje nilikua na dumu mbili tu mzee vta lita 18LPole mkuu.... hiyo ni roho yake tu mbaya... maji ni kitu gani jamani... Dumu mbili aisee?
Pole sana mkuu kama hiyo ilikufanya ushindwe kuoga